Kigugumizi on flick.......🤣🤣🤣
Kuhusu hili Mme sema hapa ... ngoja nimkaribishe mzeee ......🤣
Mzee: kwanza wachawi wamesha kufa (unamjua mchawi?) 🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee tena: kuhusu UCEO Tukiamuaaa hata sasa ......... Naomba ........... Nyie Vijana msije na mabango ...🤣 Tunaogea mambo mazito mtulie kwanza .....🤣
🤣🤣 Ila Huu mwaka huuu wapendwa Kuna Raha sana!!