Natamani kusikia mambo mengi sana juu ya kinachoendelea kwasasa ukizingatia mwaka huu ni qa uchaguzi mkuu. Vipi Sasha atapeperusha bendera au born town na timu yake wana mtu wao. Maana ukiangalia ni kama wawili hawa si wamoja tena baada ya Plisner na kina marope kuachiq ngazi. Natamani nisikie chochote mpaka naogopa hata kuendelea kuandika ni kama nitakuta umetoweka hewani. Karibu sana!!
πOne switched side quickly π sababu ya UCEO wa main company 2025
But both Their time is up!
For the two upcoming weeks.... That company will be in a bumpy road!! πππ
Na nilisahahu anyways ........ both of them are sponsered by one big institution under one man. Its game of cheese by a single man and u know him right?? π