Ndiyo, anza na mchonga meno, uje na bonge, the late CEO.One day palaypanda italia kwenye kampuni nao watasaga meno. Kuna mlevi mmoja alisikika akisema vongozi wa kampuni wanaokufa ni dini moja. Huyu mlevi sijui alimaanisha nini?
Mbona husemi kuhusu kupumliwa kisogoni?Jamaa fala kweli... nani anataka msongamano wa mjini kwanza? na hata katika movies napendelea kuangalia ni zile zinahusiana na intelligence. Hivi kweli mtu anakua smart naastermind wa mambo makubwa hivi kwanini usimpende? Na simpendei kisiasa. Nimezikubali show zakehakika bush stars wana la kujifunza. Mjini ni akili.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Chawa wa born town huyu.ukute ndo ananyofoa kurasa kwenye kitabu chetu.Dah!! Wewe utakuwa mlengwa si bure majibu haya.
Siri gani ambayo yeye hana? Anajua kila kitu isipokuwa kazidiwa akili na mwalimu wake.New CEO anatia Huruma SANA.
I Wish Ningekutana naye hata Inbox.
Ningempatia Dokezo La SIRI
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Siri gani ambayo yeye hana? Anajua kila kitu isipokuwa kazidiwa akili na mwalimu wake.
Acha ale dhambi ya usaliti
Alidhani ni michezo kama aliyoizoea?Unadhan alijua kitu..
mmmh.hayaDaah tatizo ataacha bloodline yake ambayo itaendeleza alipoishia hivyo bado tuna safari ndefu mno maana first born wa mr born town naye siyo wa kumchukulia poa! Inasikitisha asee!
mkuu za siku. Hapo 'gaberon room #26'. Si mchezo,maamuzi ya huko ni magumu sanaThe state waliamua toka gaberon room no 26...na ilikuwa Ni lazima iwe hivyo..sababu kubwa iluyopelekea maamuz hayo Ni kwamba badala ya ""kujenga taifa yeye alikazana kujenga nchi...""
Unakuta Old CEO na mishe zote hizo hayupo kwa deep state Wala inner circle executive, ni servant wa kawaida tu kama wengine, ama kweli state ni dubwana la kutisha mno.The state waliamua toka gaberon room no 26...na ilikuwa Ni lazima iwe hivyo..sababu kubwa iluyopelekea maamuz hayo Ni kwamba badala ya ""kujenga taifa yeye alikazana kujenga nchi...""
Mbona unapata sana shida..Dah!! Wewe utakuwa mlengwa si bure majibu haya.
Wewe unamuonea wivu? Kapumuliwe na weweMbona husemi kuhusu kupumliwa kisogoni?
Ni ukipenda hivyo pia. Ila ccm uaneni chinjaneni muishe wooteChawa wa born town huyu.ukute ndo ananyofoa kurasa kwenye kitabu chetu.
Man from mwisho wa reli.Code ambayo cjaipata hapa ni yule kijana wa old CEO aliyeamua kumgeuka na kuwa mshauri mkuu wa new CEO ni mhasibu mkuu aliyepo au? Na kijana aliyewekwa kizuizini baada ya late CEO ku RIP ni yule mwanaCUF wa zaman au yule uncle wa late CEO aliyekua cashier mkuu naombeni clue wadau twende sawa
Unapata shida sana mm kueleza ukwel