Mkuu GT chura naona unazunguka tu kitini ndani ya kiyoyoz mbele yako kwa juu picha ya mama umening'ini.Niliidharau hii Hekaya mwanzoni ila hapo makamu mwenyekiti kutaka kuzuiwa kupewa uCEO na Bashi boy pana kaukweli kiaina pia wizi wa hela na penyewe pana kauweli Yes kosa kubwa walilolifanya kina Katibu ni kutomshirikisha Beyo boy kumtenga manyota lilikua kosa sana angewasaisia kubeba hii kampuni...alafu deep informal kuwa ni yule bibie hapo mmemuonea sana huyo mama...jamaa alikua hamshirikishi kabisa she was too ceremonial....Pia mtunzi kasahau kuhadithia kuwa waliandaa ka kijipande cha kigazeti cha mchongo kujustify jamaa eti alikua na pesimeka na aliumwa kuanzia akiwa yudizenga ila hii dunia ina mambo jameni anyways
Robo tatu conspiracy robo ukweli
HahahaUnapita na RR ngojea nivute Ace of Spades hapa 😄
Sio ajabu,lakini kuangamia kwa Jiji kama Dar ndio ajabu nasubiri nione kama ni uzushi tu!Kwa umri wako, tetemeko ni kitu cha ajabu kweli?
Kati ya methali ya kiswahili hii naiamini sana. Binadamu ni hatarii.Hakika kikulacho siku zote kiko nguoni mwako.
Dogo tuliaYoga Kama yoga..Hapo Kwa Mr msema Sana au Mr wa kubwabwaja Yani muvi hii hapa Kwa jinsi Stori inavyoflow.Najikuta na Mimi nishashika mjegeja nawatwanga za kichwa ahahaha..Stori tamuu
🤣🤣🤣🤣tofauti yake hii ni true story ambayo ni updates twenty22
bandari ya bwagaheart na kujiuzulu kwa Agwe bado hujagundua sio tamthilia,
juzi kuna mmanga kaongezwa share ya bwagaheart akiwa na damu na Zenjiba
mpe Moyo yoga atupe vinavyopikwa jikoni kuliko vitabu vya hekaya au wageni
Noma sanaUtakuwa umefanya kosa sana na nitakusumbua sana kwenye pm yako,please don't disappoint us!
Usiweke banaNiweke kambi hapa
Yule mtabiri wenu tarehe alizotabiwa hazijapita? Msipokuwa makini mtafanya self fullfilling prophecySio ajabu,lakini kuangamia kwa Jiji kama Dar ndio ajabu nasubiri nione kama ni uzushi tu!
Siasa ni mchezo mchafu siò rahisi kujua adui wako kwa harakaNdo ujue uchawi hupo
Sina lolote hapa mjini niko huku zangu nalima matikiti.Madam Basi wewe utakuwa kidoti. Ungekuwa mwanamme basi Mwana FA
Hahaha madam bado tu unaingia mkenge kwenye matikiti. Basi pia utakuwa unalima ngwara, ufuta, dengu, vanilla na pia mayai ya kware.Sina lolote hapa mjini niko huku zangu nalima matikiti.
Mguu wa bia!Sina lolote hapa mjini niko huku zangu nalima matikiti.
Asee Robot la MatopeBashite
BabeUko makini.
Unatupigia kelele tuko kwenye majukumu ya msingi.
HahahaUnatupigia kelele tuko kwenye majukumu ya msingi.
Majukumu gani ya msingi wee nyauUnatupigia kelele tuko kwenye majukumu ya msingi.
BungeniMajukumu gani ya msingi wee nyau