Dark days 17/03/20...

Ukitembelea Rombo, Marangu, Machame mpaka kibosho hakuna maji ya bomba, umeme bado haujafika na hakuna barabara ya lami mkuu Kilimanjaro hakuna maendeleo kuna walevi tu. Huo ukanda pia kuna kaya hazina choo wanajisaidia maporini.
Alafu anakwambia wasukuma ndo hawajitambui eti kaskazin wanajitambua akati nchi yote haijaendelea ko hata akijenga chato ni sawa TU
 

Kaka umeongea vizuri na ukweli mtupu, ila nyumbu hawatakuelewa.
 
Mfanyabiashara anaiibaje serikalini ? Mwenye dhamana ya kutoa hela ni mtu aliyepo serikalini sio mfanyabiashara. Unataka kuniambia Mo anapata faida kuliko aliyempa tenda ya kusabaza mbolea ? Hakuna mwanasiasa aliyefilisiwa hata mmmoja. Mimi nawajua wafanyabiashara waliojenga biashara zao kwa tabu toka miaka ya 80 lakini Magu alikuja kuwafilisi. Kuna ambao walikufa kwa presha na msongo wa mawazo.

Hauwezi kulazimisha watu tufanane. Mpambanaji lazima atoboe hata uzibe ridhiki vipi. Magu alitakiwa acheze na wafanyabiashara lakini awaangamize na kuwafilisi wanasiasa. Hauwezi kuendelea bila wafanyabiashara, aliwabana lakini mwishoni alimfungulia kaka yake Rostam kesi ya ujangili ili Rostam arudi. Na baada ya kurudi na kuzindua Taifa Gas pesa ikaanza kuonekana. Ukiwa mjuaji watu wanakuacha, halafu wanasubiri ufeli na ulambe matapishi. Magu alikuwa Rais wa wajinga na wavivu kufikiri. Pichani hapo ni bilionea mdogo kutoka ujerumani, amerithi hisa za kampuni kutoka kwa Baba yake. Na ujerumani ndio taifa lenye uchumi mkubwa ndani ya Umoja wa Ulaya. Magufuli angekuwa hai angeulizwa ni sahihi huyu kijana mdogo kupewa hisa zenye thamani hii mapema angejibuje ?

 
Ukiangalia apo wewe ndo mvivu kufikili Yani unadhani Wana siasa ndo Wana hela kuliko wafanya biashara 😂😂 wanasiasa na watu wa serikalini hua ni vibaraka tu Huwa wanapewa percent ndogo ya kilicho chotwa unasema unawajua matajiri walio jijengea fedha zao unajua walipata kwa njia gani,? Au kama alianza kuiba 80 kwakua kaiba mda mrefu basi imeshakua halali aendelee kuiba?
Io picha yako sijui ina uhusiano Gani na magu
 
Rafiki yangu aliyepewa dhamana ya kutoa mali ya umma ni mwanasiasa na sio mfanyabiashara. Na wafanyabiashara ambao wanapendelewa na serikali na kupata tenda kirahisi na watanzania wenye asili ya Asia na sio wengineo. Hauwezi kulinganisha hustle ya Mengi, Melau na Bakhressa, Dewji, Manji na Rostam. Rostam kapewa nafasi ya kuzindua Taifa gas bila tenda kushindaniwa. Viwanda vya Bakhressa vilikuwa mali za NMC alipewa bila ushindani. Manji alipewa tenda za ku-supply nguo Jeshini bila ushindani. Tunamalizia na Dewji ambaye ndio msambazaji mkuu wa mbolea na mmiliki wa mashamba makubwa ya katani. Hawa wote makazi yao ya kudumu sio hapa Tanzania. Ndio maana dola haipatikani maana wakipata faida hawachelewi kuipeleka majumbani kwao. Mtu hadi anakupa mkataba anajua inaingiza sh ngapi kwa hiyo hawezi kukubali ule kuliko yeye. Tatizo watanzania tunachukiana na huku watu wa nje wanajipatia faida. Tanzania ni taifa ambalo mgeni anaishi vizuri kuliko sisi.

Kuhusu hiyo picha ni kubwa JPM aliona kila tajiri ni fisadi. Na kuonyesha kubwa huyo dogo amerithi hisa zenye thamani ya dola bilioni tatu akiwa na miaka 14. Magu angesikia mahali mtoto wa miaka 14 amepewa shilingi bilioni 3 angeruhusu ? Binadamu hatuwezi kufanana kuna watu lazima watoboe. Na kupambana ni kujipambania wewe na familia yako.
 
Mwanasiasa angekua ndo mnufaika mkubwa anamhitaji mfanya biashara wa Nini ? Angekomba kila kitu wafanyabiashara ndo wamewaweka hao wanasiasa apo ili wawatumie kwa maslahi yao .wanasiasa ni matajiri kwako wewe hoehae ila mbele ya matajiri hawana kitu hao ndo maana saivi wako machawa tu kulinda matumbo yao
Magufuri alimpora nani hela nyingi kisa kapewa? Au ni chuki yako tu
 
Haujaelewa Magufuli alifungia watu akaunti ambao ni wafanyabiashara wa kawaida. Kuna watu wana viwanda na mahoteli. Kuna watu wanafanya biashara pasipo kufanya kazi na serikali. Unaowaona matajiri wakubwa wa nchi hii hawaumizi vichwa. Hao matajiri wakubwa wamebebwa na serikali hadi na serikali ya Magufuli. Ninajua watu wambao wamepambana toka miaka hio mpaka wakatoboa. Kuna watu walianza na udereva taksi mpaka kumiliki biashara kubwa. JPM aliweka nguvu Sehemu ambayo sio. Aliwafungia watu akaunti zao na kuchota hela kibabe. Baada ya kuona hakuna hela ikabidi amfungulie kaka yake Rostam kesi ya ujangilj ili Rostam aje. Baada ya Rostam kufungua Taifa gas na kuanza kuuza gas Kenya,Uganda na Rwanda angalau akapata ahueni. Alivyofariki wafanyabaishara walipata ahueni. angalau. Wanasiasa unaowaita vibaraka wana mali kupitiliza hao wafanyabiashara. Tembea uone usijifungie na watu hao hao kila siku.

Hauwezi kuzuia ubepari mtu anapambania familia yake na watoto wake akifanikiwa unataka awe sawa na mtu mjinga na mvivu wa kufikiri.
 
Mnabishana nini humu?! Makonda alishamaliza kwa kusema Wafanyabiashara wanaichangia CCM sababu ya hofu. Hofu ya nini! wanaweza kufilisiwa saa yoyote. Hakuna aliyehuru nchi hii. Yani Rais anaweza kutishia benk na zikazuia account ya mtu bila sababu za msingi. CCM imejaa walarushwa na mafisadi na Wafanyabiashara wanalijua hilo hivyo wanaishi nao. Na ukifanikiwa kuishika serikali unasamehewa kodi bila utaratibu. Bandari kuna rushwa ya kufa mtu, unadhani hawajui?! Viongozi wa Serikali ambao ni CCM wanajua na wanashiriki wizi. CCM ni wezi tunahitaji mabadiliko.
 
Can you prove these allegations? Tusaidie ututajie hao watu unaodai Magufuli aliwafilisi. Pia tupe uthibiitisho wa kitafiti juu ya madai kwamba baada ya mdogo wake na Rostam kuachiliwa money circulation iliongezeka nchini following the inauguration of Taifa gas
 
Part 1 mdogo wake Rostam anafunguliwa kesi ya ujangili

View: https://www.youtube.com/watch?v=vl8EpKNeIoc
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 31.10.2018
Part 2: Mdogo wake na Rostam aachiliwa kwa kulipa faini

View: https://youtu.be/1zOhcsecoVo
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 21.12.2018
Part 3 Rostam anarudi nchini na kumpeleka lowassa Lumumba

View: https://youtu.be/nUXToHSW0eQ
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 01.03.2019
Part4:Rostam bega kwa bega na JPM katika uzinduzi wa Taifa gas

View: https://youtu.be/IGblup4RPhg
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 25.06.2019
Part 5:Baada ya Taifa Gas kufanya kazi vizuri kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu na mzunguko kuwa sawa kidogo.Rostam apewa kiwanda cha ngozi na aahidiwa ubunge wa Morogoro akiamua kugombea

View: https://www.youtube.com/watch?v=Bs18vR_OF4I&t=76s
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 12.02.2021
Halafu naomba ujiongeze JPM alikufa lini ? Je kulikuwa na matatizo makubwa sana mpaka kumuhitaji Rostam ? Na je hayo matitizo yaliiisha kabisa au yalitulizwa kidogo ? Namalizia jiulize hayo matatizo ndio yalipelekea kifo cha JPM ? Unafiki ni kitu kibaya sana.
 
Ilikuwa Feb 15, 2021,
Alipotoka hapa ndio ukawa mwanzo.....

Hizi macrophone nani alifanya setting?

Ukiunganisha dot mbalimbali kuna harufu fulani...... Huko mbeleni ikitokea kuundwa tume watu waliohusika na vyombo hapa wafanyiwe nao uchunguzi.......
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…