Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,564
nani alimuua Bob Marley
Ukipata mkuu ,pmKiukweli kama kuna mtu anavyo vile vipande viwili vilivyonyofolewa itapendeza anitupiamo inbox.
Nahisi nimekosa vitu vya muhimu sana.
Labda unamanisha Lucky Dube, ndiye aliuawa kwa kupigwa risasi na Mhlanga (alikuwa na wenzake wengine watatu) ambapo alifyatua risasi mbili, moja ilimpata Dube kifuani na nyingine kwenye bega.Naombeni kujua nani alimuua Bob Marley
Nimewahi kusikiliza the story book ya Wasafi media huko YouTube, mwandishi kama sikose ni Mtika AbdallahNaombeni kujua nani alimuua Bob Marley
Mkuu weed na mimi naomba ukipata.Ukipata mkuu ,pm
Kauliza account za Jf mkuu, sio miaka yako.
Dahau akazane na mbio za mwenge
Inaweza kuwa , maana mama mambo ya computer anajua sana kutokana na majukum yake ya kazi ya kipindi cha nyuma,
Alafu hivi mama SSH kipindi cha Mzee Nyerere Tiyari alikua katika utumishi wa umma,?
Nauliza hivi kwa sababu ipo clip moja hivi kwenye wimbo wa dr Remmy Ongara ,katika ile nyimbo ASILI YA MZIKI WAPI,
Waweza nenda you tube na play iyo nyimbo mpaka mwisho ,kipabde flani hivi in black and white yupo mama na ushungi wake anacheza taratibu namfananisha naye ,
Chungulieni huo wimbo alafu wakongwe twambieni ndo ndie
Kesha post "Tayari" sielewi ni ni!?Na huyu yoga ndie alikuwa Kigogo wa kule Facebook...baada ya kuwa namba 1 Kigogo akapotea🤣🤣🤣
HahahahahaKuna hosptali moja inanishangaza sana kwa taarifa ni kwamba ina madaktari wa viwango vya juu wote,na kuna vifaa vya hali ya juu sana wenye nchi yao hutibiwa hapo lkn cha ajabu kila kiongozi ukiskia kafika hapo hachomoki yani mhesabie siku tu anaondoka...
Hadi nimeanza kuiogopa...Ukisikia tu umepelekwa humo ndiyo, uanze kuomba tuonane milele...Daah changamoto sana😂Kuna hosptali moja inanishangaza sana kwa taarifa ni kwamba ina madaktari wa viwango vya juu wote,na kuna vifaa vya hali ya juu sana wenye nchi yao hutibiwa hapo lkn cha ajabu kila kiongozi ukiskia kafika hapo hachomoki yani mhesabie siku tu anaondoka...
Kuna hosptali moja inanishangaza sana kwa taarifa ni kwamba ina madaktari wa viwango vya juu wote,na kuna vifaa vya hali ya juu sana wenye nchi yao hutibiwa hapo lkn cha ajabu kila kiongozi ukiskia kafika hapo hachomoki yani mhesabie siku tu anaondoka...
Na lugalo wanapeleka kufanya nini ? Ingawa jibu lako haliko mbali na ukweliIle ni mortuary sio hospital wanao pelekwa pale wanakuwa wamesha kata moto...Ili kulinda hadhi ya hospital nyingine wanabidi waisingizie hiyo mortuary .....!
Mzena..?Kuna hosptali moja inanishangaza sana kwa taarifa ni kwamba ina madaktari wa viwango vya juu wote,na kuna vifaa vya hali ya juu sana wenye nchi yao hutibiwa hapo lkn cha ajabu kila kiongozi ukiskia kafika hapo hachomoki yani mhesabie siku tu anaondoka...