Inaleta picha! Vipi ujio wake wa juzi na yanayo endelea hapa sasahivi, kuna muingiliano wowote wa athari za harufu yake kwa haya yanayoendelea!!?Mkuu huyo pk kuna sehemu ya kampuni mpakani huko BKB, alishawahi kuingiza watu wake kwa nguvu kufanya kilimo huko(hili liliwahi andikiwa uzi humu kuhusu hili na wenyeji wa huko walitoa ushihuda).
Kuna vita kati yake na BT ikiwemo BT kulinda maslahi ya kampuni ambayo PK anaitaka ardhi hiyo kufanyia uwekezaji. Sasa BT kipindi cha utawala wake hawakukubaliana na hili. Iliwahi kusemwa humu JF, BT alimtumia jasusi PK mpaka jumba jeupe la PK pasipo kujulikana na hapo PK kwa BT, akaufyata.
Wewe uingiliwe mpaka chumbani kwako ambapo unaamini pana ulinzi mkali ila mwamba kampenyeza jasusi wake mpka kwako unnoticed.
Unaona enzi za late CEO, kulikuwa na fununu Pk kapenyeza watu wake hadi jumba jeupe? Yes ni harakati za late CEO kumbana BT kutumia msaada wa Pk maana alijuwa Pk hawapatani na BT, so aliongeza nguvu ili kumu eliminate BT. Ndio hivyo BT akawazidi kete akamuwahi.
Binafsi naamini kuna mahali wanaingiliana kimaslahi ndani ya kampuni kiasi cha Pk kufanya awezalo kumdondosha BT. Pk kwa BT anaujua mziki wake vizuuuuri ndio maana anajaribu kutumia ma CEO watakaoonesha kukinzana na BT.
Hivi ndivyo mambo yao yanavyo kwenda kati ya BT & PK, kwa uchache na taarifa tulizojikusanyia.
Ina mashiko sanaHata Mimi no 3 makes a lot of sense to me
Hi guys!! [emoji102]
Upo!!!?Hi guys!! [emoji102]
Ina base kwenye uhalisiaIna mashiko sana
Glad to see you Yoga, karibu tenaHi guys!! [emoji102]
The return of living dead [emoji41]Hi guys!! [emoji102]
SASHA means SALIMIA SANA HABARI GANI?Ila yule tabibu hana tofauti na yule wa late ceo. Nilimshangaa sana kutumia vyombo kuanza kuongelea vitu binafsi vya ugonjwa wakati sheria haziruhusu kabisa. miss pablo code ya sasha ni current ceo?
Mkuu tuambie tu Sasa torobari na tent zinavuka maji au tunazikita hapa hapa baraHi guys!! [emoji102]
Hi mchumba, nilikumiss mnoo karibia kifuani unipe hug 😍Hi guys!! [emoji102]
Coded now as sasaSASHA means SALIMIA SANA HABARI GANI?
MkuuNimejibu juu hapo.
Mpango wa membe kuwa rais ulisukwa
Kwa njia ya uchochoroni ulikuwa unaratibiwa. Na Kambi ya BT 2019
Na State nao walikuwa na mpango wa FDR wao.
Mpango 2025 alikuwa haendelei tena kuwa VP.
Na kama membe angewekwa kipindi kile Cha msiba ingeleta tension.
code ya fdrMkuu
Kwahiyo ile ishu ya fdr kuingia kitalani imeyeyuka!!?
Mi nilidhani hilo tukio lita leta domino effect KWA mapapa kuanguka hasa watakaohudhuria musiba cyprian au!!!?
Kwamba picha ndio linaanza rasmi au sio!!!?
"Franklin Delano Roosevelt na utawala wa miaka 12 Tanzania ilitokea marekani itatokea na huku"code ya fdr
Dah bado naukumbuka huo uzi ila bado code limejibamiza na kujilock"Franklin Delano Roosevelt na utawala wa miaka 12 Tanzania ilitokea marekani itatokea na huku"
Uzi wa Tumia akili kausome!!
ChawaWaMama inawezekana kweli BT haijui Deep shiteti ya bongo?Waliokula kichwa cha dodo ki nadharia wanaweza kuwa kama ifuatavyo:
1. Current CEO (sababu ni ile dhana dodo angekuja kuwa mgombea na hatimaye awe makamu wa rais na in 2027 year current CEO angeuawa na dodo kuwa rais na hapo baadaye angemuachia kijana wa BT)
2. BT kwa sababu ya kuropoka au kukosa mvuto ili BT aweke mtu mwingine (dhana hii ni dhaifu mno) au pia inawezekana BT kamuwahi labda dodo alitaka awe ndiyo bosi wa kambi (bado dhana dhaifu)
3. Deep shiteti (inawezekana baada ya tafuta tafuta yao nani alimuua late CEO na wakaja na conclusion master mind wa mchezo wote ni dodo hivyo ikaamriwa auawe na then wengine waliobaki nao wauawe wote ila waanze na bosi wa genge la mauaji ya late CEO). Hii dhana ina nguvu namba mbili ikifuatiwa na ile dhana na current CEO.
4. Natural death (chanjo ya korona maana ilisemekana walio chanja watakufa within two to five years). Inawezekana pia ikawa siyo chanjo. Hii ni dhana ya kwanza ikifuatiwa na deep shiteti na ya tatu ni current CEO na ya mwisho ni BT.
Yote na yote hakuna mwenye uhakika ni theory gani ya ukweli kwa sababu mazingira ya uadui waliyojitengenezea kambi ya BT ni magumu sana na ni dhahiri vifo kwenye kambi yao vitaendelea kwa sababu deep shiteti ya bongo hata BT mwenyewe haijui kabisa na hakuna anayeijua kwa 100%.
Yaani inaonekana the state walitaka kuingiza mtu kitalani mwaka huuu 2023 atawale KWA miaka 12 HADI 2035!!!huyo jamaa anaitwa fdr jina la Rais wa marekani wanamfananisha na aliekuwa Rais wa marekani Franklin Delano Roosevelt (Fdr)Dah bado naukumbuka huo uzi ila bado code limejibamiza na kujilock