Ndo maana ndugu mwandishi akasema; 'Mambo ni mengi ila mda ni mchache'.Niliidharau hii Hekaya mwanzoni ila hapo makamu mwenyekiti kutaka kuzuiwa kupewa uCEO na Bashi boy pana kaukweli kiaina pia wizi wa hela na penyewe pana kauweli Yes kosa kubwa walilolifanya kina Katibu ni kutomshirikisha Beyo boy kumtenga manyota lilikua kosa sana angewasaisia kubeba hii kampuni...alafu deep informal kuwa ni yule bibie hapo mmemuonea sana huyo mama...jamaa alikua hamshirikishi kabisa she was too ceremonial....Pia mtunzi kasahau kuhadithia kuwa waliandaa ka kijipande cha kigazeti cha mchongo kujustify jamaa eti alikua na pesimeka na aliumwa kuanzia akiwa yudizenga ila hii dunia ina mambo jameni anyways
Robo tatu conspiracy robo ukweli
Yes ameiva kweli kweli always smiling na ana uvunilivu wa Hali ya juu hivo ndio Rais anatakiwa Sasa maana ukiwa mnoko na katiba yetu unakuwa dictatorYule ni matokeo mazuri ya kitengo..
Enzi hizo za dhahabu..
Eti... tunachelewa kuzaaa halaf tukija zaa tunazaa matahira..Wanawasimanga kaskazini hamna akili au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah wapi. Nani hapendi kupendeza. Na kupendeza kwenyewe nako uwe na damu hiyo[emoji23]Ila now kazidi! Ndo sifa ya wenye hela hiyo miss pablo
[emoji23][emoji23] nitamtegea ama ndo makubaliano. Nani hataki mtoto smart kama babake hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah hiki kichwa kibovu. Kwamba unataka za born town mwenyewe...
Hivi upo serious kabisa? Vp born town akikutongoza leo so utamtegea mimba??[emoji23]
Ana roho mbayaaa shetani yuleee. Kwanza liko kama zezeta. MfiewHeri rizimoko mara elfu madelu ni rahisi kuwa dictator kama mwendazake aisee tutahamia Burundi
Damu ya kupendeza anayo? Naonaga magauni ya kihindi tu yaliyovaliwa na black[emoji23]Madame speaker abadilike bana she is cute na mwili mzuri shida mavazi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Damu ya kupendeza anayo? Naonaga magauni ya kihindi tu yaliyovaliwa na black[emoji23]
Tuanzie hapo tu... anayo damu hiyo?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2] ila ni jamaa fighter sana shida kauli za kuudhiAna roho mbayaaa shetani yuleee. Kwanza liko kama zezeta. Mfiew
Hana ila ange force tu kingi hivo hivoTuanzie hapo tu... anayo damu hiyo?
Angalau hata za mariedo basi. Si ndio? Asigawe bodaboda tu wakati hapendezi. Mawigi havai wala kushonea. Wala hasuki. Basi apendeze na viwalo walau daraja la kati jamani.Hana ila ange force tu kingi hivo hivo
Hajapata chizi fresh tu. Niblwasababu system yetu iko weak. Ila me simkubali wala nn. Huyu January simpendi ila namkubali he is smart. He is. Mimi hata uwe bilionea halaf akili sizioni achana na mm.[emoji2][emoji2][emoji2] ila ni jamaa fighter sana shida kauli za kuudhi
Aisee marope simkubali heri ya mwigulu mara elfu marope anaweza kutuuza direct, pia ana tuhuma nyingi za maadili ya Sodom Sasa sijui ni kweli au kumchafua tuHajapata chizi fresh tu. Niblwasababu system yetu iko weak. Ila me simkubali wala nn. Huyu January simpendi ila namkubali he is smart. He is. Mimi hata uwe bilionea halaf akili sizioni achana na mm.
[emoji2][emoji2][emoji2] dada yetu kajichoka sana jamani hata ka lipstick Kwa mbali huwa hapaki ujue yeye ni kiongozi wa muhili mkubwa mjengoni ajifunze hata Kwa Jojo bana, maana Kuna siku Huwa anavaa t-shirt na tight eti mashindano woooiAngalau hata za mariedo basi. Si ndio? Asigawe bodaboda tu wakati hapendezi. Mawigi havai wala kushonea. Wala hasuki. Basi apendeze na viwalo walau daraja la kati jamani.
Namsemea in the aspect of brightness. Sema yuko aggressive sana na kuutaka huo uraisi. Ni mkatili pia siku hiziAisee marope simkubali heri ya mwigulu mara elfu marope anaweza kutuuza direct, pia ana tuhuma nyingi za maadili ya Sodom Sasa sijui ni kweli au kumchafua tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mama gwajima anamshinda bana. Chombo mama makinda bana. Anajipenda hata kama age imeenda. Anunue hata shushi by Nandy basi[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] dada yetu kajichoka sana jamani hata ka lipstick Kwa mbali huwa hapaki ujue yeye ni kiongozi wa muhili mkubwa mjengoni ajifunze hata Kwa Jojo bana, maana Kuna siku Huwa anavaa t-shirt na tight eti mashindano woooi
Mama gwajima sikuhizi anajitahidi Kwa kweli Anna makinda yeye hutupiaga kawigi kake kauka nivae na kuvaa vizuri, Sasa madame speaker wetu kajichoka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mama gwajima anamshinda bana. Chombo mama makinda bana. Anajipenda hata kama age imeenda. Anunue hata shushi by Nandy basi[emoji23]
Mimi hao wote hamna afadhali Kwa kweli watakuwa tu ka lowasa na membe?Namsemea in the aspect of brightness. Sema yuko aggressive sana na kuutaka huo uraisi. Ni mkatili pia siku hizi
Kwa haraka haraka sioni, kwani kajipanga ndani ya nchi na nje, wa kupandana naye nani?