Hebu usituchekeshe hapa na wewe,huyo Buyobe alikuwa anasubiri Yoga ashushe vitu ndiyo anakuja kuwapigeni nyinyi huko Twitter.Yoga akikaa kimya hata mwezi,Buyobe anazimika pia.
Anyway unaonekana bado mgeni hapa,ukiwa mwenyeji utajua kuwa Buyobe huwa anabeba thread za hapa anawaleteeni huko Twitter.Siku tatu zilizopita kabeba thread ya
Mshana Jr ya Marehemu Martha kawaleteeni huko pia