R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Oct 31, 2022 #6,721 kyagata said: Hizo takwimu umezitoa wapi mwenzetu? Click to expand... Makinda ametoa matokeo ya sensa Leo.
kyagata said: Hizo takwimu umezitoa wapi mwenzetu? Click to expand... Makinda ametoa matokeo ya sensa Leo.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,744 Reaction score 25,562 Oct 31, 2022 #6,722 Rabbon said: Makinda ametoa matokeo ya sensa Leo. Click to expand... Makinda kasema Dar ina watu 5.7m na mwanza 3m.sio hizo ulizoziandika
Rabbon said: Makinda ametoa matokeo ya sensa Leo. Click to expand... Makinda kasema Dar ina watu 5.7m na mwanza 3m.sio hizo ulizoziandika
CIA mgumu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2022 Posts 961 Reaction score 1,961 Oct 31, 2022 #6,723 kyagata said: Makinda kasema Dar ina watu 5.7m na mwanza 3m.sio hizo ulizoziandika Click to expand... Bado unaweza kuamini kuwa Tren ya makaa ya mawe itaundwa Tanzania? (Elewa)
kyagata said: Makinda kasema Dar ina watu 5.7m na mwanza 3m.sio hizo ulizoziandika Click to expand... Bado unaweza kuamini kuwa Tren ya makaa ya mawe itaundwa Tanzania? (Elewa)
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Oct 31, 2022 #6,724 kyagata said: Makinda kasema Dar ina watu 5.7m na mwanza 3m.sio hizo ulizoziandika Click to expand... Mza 3.6, dar 5.7, mbeya, Arusha, Dom nk zinaweza badili pakubwa matokeo ikiwa watu watakuwa na mwamko wa kupiga kura Kwa weledi na HAKI. Tunapata tafsiri kuwa nguvukazi imeyakimbia mashamba na kuhamia mijini, wakiachwa wazee na wanawake kulima. Tusipowekeza ktk kilimo Cha kisasa na kuwashirikisha Uchumi vijana, Bomu litatulipukia.
kyagata said: Makinda kasema Dar ina watu 5.7m na mwanza 3m.sio hizo ulizoziandika Click to expand... Mza 3.6, dar 5.7, mbeya, Arusha, Dom nk zinaweza badili pakubwa matokeo ikiwa watu watakuwa na mwamko wa kupiga kura Kwa weledi na HAKI. Tunapata tafsiri kuwa nguvukazi imeyakimbia mashamba na kuhamia mijini, wakiachwa wazee na wanawake kulima. Tusipowekeza ktk kilimo Cha kisasa na kuwashirikisha Uchumi vijana, Bomu litatulipukia.
CIA mgumu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2022 Posts 961 Reaction score 1,961 Oct 31, 2022 #6,725 Rabbon said: Mza 3.6, dar 5.7, mbeya, Arusha, Dom nk zinaweza badili pakubwa matokeo ikiwa watu watakuwa na mwamko wa kupiga kura Kwa weledi na HAKI. Click to expand... Mungu akasema yatosha mliovyokaa kwenye mlima huu basi geukeni shikeni njia kuelekea nchi ya Moabu nchi yenye tambarare😢😢😢😢
Rabbon said: Mza 3.6, dar 5.7, mbeya, Arusha, Dom nk zinaweza badili pakubwa matokeo ikiwa watu watakuwa na mwamko wa kupiga kura Kwa weledi na HAKI. Click to expand... Mungu akasema yatosha mliovyokaa kwenye mlima huu basi geukeni shikeni njia kuelekea nchi ya Moabu nchi yenye tambarare😢😢😢😢
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Oct 31, 2022 #6,726 CIA mgumu said: Mungu akasema yatosha mliovyokaa kwenye mlima huu basi shikeni njia kulekea nchi ya Moabu nchi yenye tambarare😢😢😢😢 Click to expand... Ok, bt AJAYE, akikaa, amekaaa!!!😃😃
CIA mgumu said: Mungu akasema yatosha mliovyokaa kwenye mlima huu basi shikeni njia kulekea nchi ya Moabu nchi yenye tambarare😢😢😢😢 Click to expand... Ok, bt AJAYE, akikaa, amekaaa!!!😃😃
Izato JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 5,084 Reaction score 11,005 Oct 31, 2022 #6,727 Yoga kumbuka kuwa kesho ndiyo mwezi Novemba unaanza, tupia basi mzigo mwingine, arosto imezidi kuwa kali sana katika uzi wako.
Yoga kumbuka kuwa kesho ndiyo mwezi Novemba unaanza, tupia basi mzigo mwingine, arosto imezidi kuwa kali sana katika uzi wako.
Bachelor OG JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 1,198 Reaction score 1,466 Oct 31, 2022 #6,728 Umukhama murunji.......inaku-zonaa
Mwl Athumani Ramadhani JF-Expert Member Joined Sep 10, 2022 Posts 1,279 Reaction score 2,524 Oct 31, 2022 #6,729 Bachelor OG said: Umukhama murunji.......inaku-zonaa Click to expand... Wakora waytu
CIA mgumu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2022 Posts 961 Reaction score 1,961 Oct 31, 2022 #6,730 Bachelor OG said: Umukhama murunji.......inaku-zonaa Click to expand... Sawa mie muhangaza nikujibu vipi
Bachelor OG said: Umukhama murunji.......inaku-zonaa Click to expand... Sawa mie muhangaza nikujibu vipi
bolivia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2021 Posts 3,141 Reaction score 5,293 Oct 31, 2022 #6,731 Kuna baraza jipya la mawaziri linakuja aisee nimeona vichwa vipya mzee wa mbeya mwenye akili nyingi amerudi kwenye system.
Kuna baraza jipya la mawaziri linakuja aisee nimeona vichwa vipya mzee wa mbeya mwenye akili nyingi amerudi kwenye system.
E Eghaini Member Joined Mar 12, 2021 Posts 12 Reaction score 12 Oct 31, 2022 #6,732 Sasa Yoga, we unakuwa wapi unapoweza kujua yote yanayoendelea kwa old CEO, late CEO na New CEO. Maana Ni Kama ukweli fulani hivi kuhusu kampuni
Sasa Yoga, we unakuwa wapi unapoweza kujua yote yanayoendelea kwa old CEO, late CEO na New CEO. Maana Ni Kama ukweli fulani hivi kuhusu kampuni
Mzee wa Chai JF-Expert Member Joined Sep 20, 2022 Posts 708 Reaction score 1,270 Oct 31, 2022 #6,733 Eghaini said: Sasa Yoga, we unakuwa wapi unapoweza kujua yote yanayoendelea kwa old CEO, late CEO na New CEO. Maana Ni Kama ukweli fulani hivi kuhusu kampuni Click to expand... Usidanganywe anachoandika hata hakieleweki huoni kakosa content kapotea kaenda huko kutunga umbea aje nao tena
Eghaini said: Sasa Yoga, we unakuwa wapi unapoweza kujua yote yanayoendelea kwa old CEO, late CEO na New CEO. Maana Ni Kama ukweli fulani hivi kuhusu kampuni Click to expand... Usidanganywe anachoandika hata hakieleweki huoni kakosa content kapotea kaenda huko kutunga umbea aje nao tena
Fabolous JF-Expert Member Joined Sep 23, 2010 Posts 3,416 Reaction score 4,691 Oct 31, 2022 #6,734 Yoga ameutelekeza Uzi wake
yoga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 2,002 Reaction score 10,374 Nov 1, 2022 Thread starter #6,735 Fabolous said: Yoga ameutelekeza Uzi wake Click to expand... Dear, i hope uta enjoy, just be patient kilakitu, kita kuwa sawa
Fabolous said: Yoga ameutelekeza Uzi wake Click to expand... Dear, i hope uta enjoy, just be patient kilakitu, kita kuwa sawa
yoga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 2,002 Reaction score 10,374 Nov 1, 2022 Thread starter #6,736 wegero kwetu said: Usidanganywe anachoandika hata hakieleweki huoni kakosa content kapotea kaenda huko kutunga umbea aje nao tena Click to expand... Sawa
wegero kwetu said: Usidanganywe anachoandika hata hakieleweki huoni kakosa content kapotea kaenda huko kutunga umbea aje nao tena Click to expand... Sawa
Corosive JF-Expert Member Joined Oct 16, 2020 Posts 1,459 Reaction score 2,930 Nov 1, 2022 #6,737 Nisaidien huu uzi nauona kwa buyobe,je n nani anacopy kwa mwenzie?
E Eliud Bunju JF-Expert Member Joined Nov 26, 2017 Posts 375 Reaction score 707 Nov 1, 2022 #6,738 Corosive said: Nisaidien huu uzi nauona kwa buyobe,je n nani anacopy kwa mwenzie? Click to expand... Humu humu au insta
Corosive said: Nisaidien huu uzi nauona kwa buyobe,je n nani anacopy kwa mwenzie? Click to expand... Humu humu au insta
euca JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 3,921 Reaction score 4,341 Nov 1, 2022 #6,739 Eghaini said: Sasa Yoga, we unakuwa wapi unapoweza kujua yote yanayoendelea kwa old CEO, late CEO na New CEO. Maana Ni Kama ukweli fulani hivi kuhusu kampuni Click to expand... Hii ni story tu unaweza andika hta za watu 10 kwa wakati mmoja but ukianza kuingiza wahusika halisi ndo hapo sasa msomaji unaanza kuvurugwa
Eghaini said: Sasa Yoga, we unakuwa wapi unapoweza kujua yote yanayoendelea kwa old CEO, late CEO na New CEO. Maana Ni Kama ukweli fulani hivi kuhusu kampuni Click to expand... Hii ni story tu unaweza andika hta za watu 10 kwa wakati mmoja but ukianza kuingiza wahusika halisi ndo hapo sasa msomaji unaanza kuvurugwa
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,407 Reaction score 6,230 Nov 1, 2022 #6,740 Nywanina