Inavoonekana hawa Maelite wa nchi hii watatunyonya raia wa nchi mpaka tukome Sasa Yoga hebu nipe bei korosho mwaka huu maana hao jamaa washaanza vikao na hizi kampuni zote ni zao hakuna cha wahindi wala vietnam,nataka nione kama bei ya hovyo nikauze chomachoma mapema