Watanzania hatujui kutofautisha vita ya wenyew kwa wenyewe na vita inayohusisha watu wa nje.
Mim huu uzi nina mashaka nao na kuna watu humu ukisoma tu comment zao utaelewa kuna kitu
Kuna mtu hpa nilimchallenge tu kidogo nikaona amebadilisha profile picture akabadili na username. Sasa hv naona ana ID mbili
Haya niliyoyasema sina uhakika nayo, ni hisia tu na Sio lazma ziwe za kweli