Nilikua wa pili uku na zile comment zetu za "ngoja waje....mi tayari siti ya mbele"
Nikakutwa kitu kimepigwa cha utosi. Dah! Basi tena, Mzee Melo na JF kwa kweli ndo ivyo tena, wamekata stimu.
Sasa ni mwendo wa kujitoa ufahamu na kuchakata mbususu. Hayo mengine ni kujihatarishia maisha.