yoga anasubiri rais wa MR FREEDOM aapishwe kwanza ndo alete uzi hapa.
Shida wakati anapitia mafile ya bosi wale akashangaa anapigwa na kitu kizito kichwani na kupoteza fahamu, anakuja kuzinduka kazungukwa na watu wazito wanamuuliza we
yoga kwanini haujawapelekea wenzako ule mwendelezo wa uzi ulisema utaendelea nao tat 26?