Ukweli mpaka muda huu hii code ya mzee nimeshindwa kuifungua na unknown pia. Mwenye kuweza nisaidia hizi vode mbili kuzifungua kwa namna ya maelekezo yeyote nitamshukuru sana
Rasimu ya Warioba naikubali sehemu kubwa bt pale kwenye viongoz Ndo sipapend Kwan viongoz wa kitaifa wamekuwa wengi sana ingekuwa poa kama Tz ingekuwa na Rais mmoja tu awe ametoka zenj au bara huku