Vibwengo ni wapi na WASIO vibwengo ni wapi? Na waliopo gizani ni tofauti na vibwengo? fafanua kidogo,hadithi tamu hizi πππππππ
Ndugu Ngarob, neno VIBWENGO na GIZA linatumika vibaya, labda halieleweki maana yake.Kuna kitu watu bado hawajajua...
Huko gizani wapo kwa ajili ya maslai ya vibwengo / raia... Na uhakikisha usalama wa mipaka.. Usalama wa bussiness... Na future ya Kampuni..
Watu waliopo huko gizani hawana shida na Ceo.... Mara chache hutoa ushauri wa mambo flani.. Kisha hukaa kimya....
Kama mnakumbuka late CEO alishawahi kusema kama mara 3 hivi kwamba mi siingiliwa na pia aliwahi kusema wao walipokuwa madarakani hawakuingiliwa.... Akasema niacheni najua ninapoipeleka Kampuni..
Huko gizani hawakurupuki bali wako kirafiki sana... Bado walikuwa wanatuma ushauri wa mambo mbali mbali.... Ila late CEO hasikii.... Na kujaribu kucheza game anavyojua yeye na jinsi atakavyoamka..
Issue ya kule kusini kuhusu business ya koroshoww... ili leta kuyumba sana huko kwa vibwengo wa huko... Vibwengo waliishiwa.. It was a big loss kwa kampuni kulipia that mess..
late ceo alishauriwa sana usipeleke mabaka mabaka huko kuchukua mali za watu.. hakusikia.. ikatokea 600 B loss.. Na koroshoww hazikuuzwa..
Akajua kwa hii security hakuna wa kunigusa...... Bado na mess nyingine nyingi tuu zilitokea... Kuvamia beural...nk nk... Lakini akasema yeye ndiye yeye aongozae njia....
Watu wakaingia kazini... Na matokeo yakabandikwa ubaoni.. Kimya kikatamalaki
Sisi sio vibwengo... Ila ni tafsiri tuu..Ndugu Ngarob, neno VIBWENGO na GIZA linatumika vibaya, labda halieleweki maana yake.
Mimi Si KIBWENGO, nakataa, Mimi ni Mwana wa Mungu Alie hai. Maana umechangia hoja ukitumia Jina vibwengo ukimaanisha raia.
Pia GIZA linatumika vibaya. Security personnel working undercover au VIPEPEO'' na taasisi zote ni Kwa Maslah ya nchi, hivyo matendo Yao Si ya Giza. Hata Mungu Mbinguni ana Malaika walinzi.
Matendo Yao yanabadilika na kuwa ya GIZA ikiwa tu yatakiuka HAKI kunufaisha wadhalimu, au kulinda wakubwa waovu.
Giza nilijualo mm ni Ule Ulimwengu wa ROHO unaofanya KAZI chini ya SHETANI mwenyewe kupitia agents wao nlowataja before.
Vita yangu kubwa ni Katika Ulimwengu wa ROHO kuhakikisha mifumo ya utawala ktk Nchi yangu TZ haitokani na SHETANI kupitia agents wake,vibwengo,Illuminati, wachawi,mizimu,mapepo nk.
Hayo madude hutaka Damu kama sadaka, Ajali za moto, matetemeko, kuzamisha meli, treni nk ni KAZI zao.
Watawala wakipata kumiliki kupitia Kwa Mungu alieumba mbingu na Nchi, hapatakuwa na RUSHWA, mauwaji, wizi, fitna, dawa za kulevya nk.
La MUNGU limekuwa, Amen
90% ya dark matters unazoongelea zipo ktk Mbingu ya kwanza, ya pili na ya Tatu mwisho, level hiyo ndo wote wa Shetani wanaishia. Hata yule she yahyaha alikuwa akijidai kwenda huko.Sisi sio vibwengo... Ila ni tafsiri tuu..
Ila Giza lipo na huko gizani kuna watu wema pia.... Mungu ameumba nguvu mbalimbali.. Ametengeneza vitu vingi vya kustaajabisha...
Hivi unafikiri huko Gizani Mungu hakujui... Au Hayupo?
Universe ilivyokubwa 90% ni dark matter... Unajua kwanini?
Gizani kuna watu wema kuangalia tu usalama wa mambo... Na sio kutoa sadaka ya maagano...kama unavyofikiri...
Kuna watu inabidi wakae gizani ili kurekebisha mambo maovu... na hawa ni tofauti na wale unaofikiri wanatoa kafara na maagano ya damu nk...
Una habari ma CEO wanazindikwa na kupewa vitu flani vya kiulinzi haswa wakipewa ofisi....? Anyway nisije nikaongea mengine.. Naishia hapa
Ninajaribu kukuelewa hapa. Kwamba mtu mwingine anaweza kujifananisha na kahaba kumbe si kahaba, mwingine anaweza kujifananisha na jambazi akashiriki ujambazi kumbe si jambazi ila tu anataka kuokoa watu wanaosumbuliwa na ujambazi.Sisi sio vibwengo... Ila ni tafsiri tuu..
Ila Giza lipo na huko gizani kuna watu wema pia.... Mungu ameumba nguvu mbalimbali.. Ametengeneza vitu vingi vya kustaajabisha...
Hivi unafikiri huko Gizani Mungu hakujui... Au Hayupo?
Universe ilivyokubwa 90% ni dark matter... Unajua kwanini?
Gizani kuna watu wema kuangalia tu usalama wa mambo... Na sio kutoa sadaka ya maagano...kama unavyofikiri...
Kuna watu inabidi wakae gizani ili kurekebisha mambo maovu... na hawa ni tofauti na wale unaofikiri wanatoa kafara na maagano ya damu nk...
Una habari ma CEO wanazindikwa na kupewa vitu flani vya kiulinzi haswa wakipewa ofisi....? Anyway nisije nikaongea mengine.. Naishia hapa
Unakumbuka kipindi flani kulikuwa na mauaji ya albino..?Ninajaribu kukuelewa hapa. Kwamba mtu mwingine anaweza kujifananisha na kahaba kumbe si kahaba, mwingine anaweza kujifananisha na jambazi akashiriki ujambazi kumbe si jambazi ila tu anataka kuokoa watu wanaosumbuliwa na ujambazi.
Point ya kupewa vitu kama ulinzi kwa MA-CEO inategemea ni nini, iwapo kama ni maagano hata kama siyo ya damu haina maana kumtegemea Mungu maana unakuwa tayari umeshafanya ibada za sanamu.
Mungu hachanganywi.Bora uwe baridi au moto ili usaidiwe lakini kuwa vuguvugu anasema Atakutapika/Atakutema.
Kwa muktadha huo kufanya hivyo ni WAKO KAZINI, kuingia gizani Ili kujua wanafanya nn gizani Kwa malengo ya kuzuia vitendo vya UOVU Si dhambi.Unakumbuka kipindi flani kulikuwa na mauaji ya albino..?
Basi kuna watu ilibidi waende mpaka kwa waganga.... Kikipikwa chakula wamo... Leta jogoo.... Chinja onja mpaka damu....
Lengo lilikuwa ni kutafuta chain yote ya wanaohusika...
Waliokuwa wanachunguza walitii masharti ili kupata picha halisi kwanini viungo vya albino vinatafutwa.. na waganga gani wanahusika.... Nk nk
Factmungu wa dunia hatawali nuru mkuu, yeye ni giza tu,akija nuruni lazima apate mwili auvae halafu afake kuwa malaika wa nuru lakini ni wa gizani.
Mungu mkuu, muumba vyote Yeye yuko juu kwa kila kitu ila anaishi nuruni, akienda gizani anaenda kukomboa mateka wake waliofichwa gizani na hakuna wa kumzuia kuingia huko.
Na kampuni nyingi chini ya jua hutawaliwa na nguvu za gizani ktk ulimwengu wao na ndo mwanzo wa uovu mwingi kutokea na wao kujiamini hawez toka kwa kampuni na hutawala wapendavyo huku dhuluma,mauaji,udhalimu wa Kila aina kwa raia ukiongeza chuki dhidi yao lkn mwisho wa yote hawajabaki kuwa salama kwani nguvu wanazotumia ktk ulimwengu wa giza huwageuka na kuwamaliza kwa kuwa Mungu ni Mungu yupo mmoja tu YEHOVA aliye hai wa MBINGUNI na Hadhihakiwi ,kwani Wema na Uovu havichangamani IPO SIKU MUNGU ATAJIBU na si mbali twaanza ona kampuni inavyoanza kuweweseka nowNdugu Ngarob, neno VIBWENGO na GIZA linatumika vibaya, labda halieleweki maana yake.
Mimi Si KIBWENGO, nakataa, Mimi ni Mwana wa Mungu Alie hai. Maana umechangia hoja ukitumia Jina vibwengo ukimaanisha raia.
Pia GIZA linatumika vibaya. Security personnel working undercover au VIPEPEO'' na taasisi zote ni Kwa Maslah ya nchi, hivyo matendo Yao Si ya Giza. Hata Mungu Mbinguni ana Malaika walinzi.
Matendo Yao yanabadilika na kuwa ya GIZA ikiwa tu yatakiuka HAKI kunufaisha wadhalimu, au kulinda wakubwa waovu.
Giza nilijualo mm ni Ule Ulimwengu wa ROHO unaofanya KAZI chini ya SHETANI mwenyewe kupitia agents wao nlowataja before.
Vita yangu kubwa ni Katika Ulimwengu wa ROHO kuhakikisha mifumo ya utawala ktk Nchi yangu TZ haitokani na SHETANI kupitia agents wake,vibwengo,Illuminati, wachawi,mizimu,mapepo nk.
Hayo madude hutaka Damu kama sadaka, Ajali za moto, matetemeko, kuzamisha meli, treni nk ni KAZI zao.
Watawala wakipata kumiliki kupitia Kwa Mungu alieumba mbingu na Nchi, hapatakuwa na RUSHWA, mauwaji, wizi, fitna, dawa za kulevya nk.
La MUNGU limekuwa, Amen
Na kampuni nyingi chini ya jua hutawaliwa na nguvu za gizani ktk ulimwengu wao na ndo mwanzo wa uovu mwingi kutokea na wao kujiamini hawez toka kwa kampuni na hutawala wapendavyo huku dhuluma,mauaji,udhalimu wa Kila aina kwa raia ukiongeza chuki dhidi yao lkn mwisho wa yote hawajabaki kuwa salama kwani nguvu wanazotumia ktk ulimwengu wa giza huwageuka na kuwamaliza kwa kuwa Mungu ni Mungu yupo mmoja tu YEHOVA aliye hai wa MBINGUNI na Hadhihakiwi ,kwani Wema na Uovu havichangamani IPO SIKU MUNGU ATAJIBU na si mbali twaanza ona kampuni inavyoanza kuweweseka now
Kuna watu hatujui yanayoendelea ndani na nje ya kampuni yetu. Tunaona hakuna shida, ingawa kiukweli kuna watu hawalali kuhakikisha sisi tunalala japo katika hali tuliyonayo.Free up your head to understand the concept...
Unafikiri vibwengo wanaweza kuilinda kremlin dhidi ya mikuki kutoka kila kona?..
you must be the old japs to believe this..
uyaonayo kwa macho yako sio yanayoendelea duniani, acha kuwaza nguvu hizo za giza uziwazavyo...
Nyumba yako haina milango?, nyumba yako haina madirisha? bila shaka hata mapazia hamna?....kanisa unaloabudu halina milango wala madirisha na mapazia..
Taifa lako likivamiwa na maharamia basi watu wote tuombe na kufunga halafu maharamia wataangamia au sio....! Amin alivyovamia Taifa lako tungefunga tu na kuomba au sio.....
this is very dip Amigo... dont take it serious...
all to all Kila mtu na anavyoamini na Imani ndiyo spirit ya yule anaekiamini kile anachokiishi MIMI naamini kwa yeye aliye juu ya yote MUNGU aitwae YEHOVA.The dark side is there to safeguard you and the land given as the bless from God...
wanalindwa watu wote na imani zao, wakristo, waislam, wahindu, mabohora, wachawi, waganga, wapagani nk.....inside the circumference with the code Tanzanians.... dip down call them vibwengo..
Mwl Mchonga once said, big white mansion ni Mahali Patakatifu.Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.β¦...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Ukasikika wimbo wa Taifa Saa 6 ucku.Kuna kitu watu bado hawajajua...
Huko gizani wapo kwa ajili ya maslai ya vibwengo / raia... Na uhakikisha usalama wa mipaka.. Usalama wa bussiness... Na future ya Kampuni..
Watu waliopo huko gizani hawana shida na Ceo.... Mara chache hutoa ushauri wa mambo flani.. Kisha hukaa kimya....
Kama mnakumbuka late CEO alishawahi kusema kama mara 3 hivi kwamba mi siingiliwa na pia aliwahi kusema wao walipokuwa madarakani hawakuingiliwa.... Akasema niacheni najua ninapoipeleka Kampuni..
Huko gizani hawakurupuki bali wako kirafiki sana... Bado walikuwa wanatuma ushauri wa mambo mbali mbali.... Ila late CEO hasikii.... Na kujaribu kucheza game anavyojua yeye na jinsi atakavyoamka..
Issue ya kule kusini kuhusu business ya koroshoww... ili leta kuyumba sana huko kwa vibwengo wa huko... Vibwengo waliishiwa.. It was a big loss kwa kampuni kulipia that mess..
late ceo alishauriwa sana usipeleke mabaka mabaka huko kuchukua mali za watu.. hakusikia.. ikatokea 600 B loss.. Na koroshoww hazikuuzwa..
Akajua kwa hii security hakuna wa kunigusa...... Bado na mess nyingine nyingi tuu zilitokea... Kuvamia beural...nk nk... Lakini akasema yeye ndiye yeye aongozae njia....
Watu wakaingia kazini... Na matokeo yakabandikwa ubaoni.. Kimya kikatamalaki
Mkuu nakuelewa vizuri kabisa. Hata Mfalme Daud aliwahi kujifanya taahira mbele ya maadui zake akawapita pasipo kumtambua.Unakumbuka kipindi flani kulikuwa na mauaji ya albino..?
Basi kuna watu ilibidi waende mpaka kwa waganga.... Kikipikwa chakula wamo... Leta jogoo.... Chinja onja mpaka damu....
Lengo lilikuwa ni kutafuta chain yote ya wanaohusika...
Waliokuwa wanachunguza walitii masharti ili kupata picha halisi kwanini viungo vya albino vinatafutwa.. na waganga gani wanahusika.... Nk nk
Tukiwa deep na Mungu kabla maharamia hayajavamia kuna alerts Mungu atakuwa ameshazitoa kwa watu wa rohoni na kuzileta kwa wahusika.Free up your head to understand the concept...