(1) "So hakupaswa kuifungua ile breafcase until awe officially announced as CEO! Wakati huo timu ile nyingine bado haiamini! wakaitisha a small meeting and had a very deep discussion! they wanted to know what happend to their leader!! "
(2) "Dogo aliyekuwa kizuizini na team yake wakawa released ili kupunguza tention, lakini with caution they are being watched! So they should stay away from the company matters!!"
Kwahiyo, the team B wakaweza kufanya small meeting with deep discussion while bado wapo kizuizini (hawajawa released)??
Tumia akili Huwa hatabasamu hapo kwenye avatar!!huyu ni pisi kali Nita m pm nijaribu kuomba ni mtoe out anaweza kunipa ka connection la kuingia kitalani!!
Tumia akili Huwa hatabasamu hapo kwenye avatar!!huyu ni pisi kali Nita m pm nijaribu kuomba ni mtoe out anaweza kunipa ka connection la kuingia kitalani!!
nilikuona Kwa Lwanda magere .......sijui ulienda Telegram maana story ulikua unafatilia episode Kwa episode...... na kila palipo na Stori napoifatilia sikukosi ........
Sema fresh ....Enjoy ...👍
nilikuona Kwa Lwanda magere .......sijui ulienda Telegram maana story ulikua unafatilia episode Kwa episode...... na kila palipo na Stori napoifatilia sikukosi ........
Sema fresh ....Enjoy ...