Je, kama atakayekuja hatokuwa mropokaji, hatokuwa mpayukaji, atakuwa muwazi na mkali kwa yeyote atakayefanya uzembe, atakayehimiza kuwahi kazini, atakayeajiri, atakayethibiti mafisadi kisawa sawa, atakayeleta nidhamu kazini na maendeleo kwa ujumla, atakayetawala kwa haki n.k
Je, huyo mtampiga nyundo pia?