bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,137
- 5,284
Gen Z walitaka uhuru wao kwenye kila jambo hususani kuchagua watu wao kwenye uchaguzi lkn serikali katili ikapitisha jina la mtu 1, na kufanya uchaguzi usio wa haki ufanyike,
Born town, current CEO ambae kwa sasa ni CEO kamili mwanae CEO na tajiri wa ki-asia mmiliki wa sehemu ya bahari yanaposhushwa makontena kwa wingi na eneo lililotumika ku-import Guns zilizotekeleza mauaji,mombo na kiziga kama wanufaika kwenye hii project C.O.D.E X
Askari wa kukodiwa kutoka visiwani Zanzibar na wale kutoka nchini Uganda walileta maafa ya mauaji na hii kupelekea hisia mpya za maandamano trh 09/12/2025.