[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenikumbusha TigoTanzania room,Wahengaa[emoji16][emoji16]
Mimi nimepiga sana mig33 kitambo hiyo.
Unamaanisha jamaa alikuwa ni mteja wa worldsex na lattinobutts [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmenye we ulikuwa unaongoza kushuka cafè moja hivi mitaa ya stadium pale...na lifloppy disk lako kubwa kitu 5MB tu kujaza zile picha zetu zile...
Iringa net kitambo sana mzee toka nipo xul mwaka 2004 hiyo nilikuwa natimba kila weekend..sijui cha youtube wala mama yake youtube kwenye video nilikuwa naangalia ngunga tuHivi ile iringa net haikuwepo kipindi Cha darhotwire? Nimekuja iringa 2011 nkaikuta inabamba Sana!!
Wakati huo ukimpata mtoto anakuomba mambo yawe siri .. sio sasa anakuomba eti umuweke Kwa statusEnzi za win 95, 98 na 2000...
Fifteen years ago the internet was an escape from the real world.Unamaanisha jamaa alikuwa ni mteja wa worldsex na lattinobutts [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fifteen years ago the internet was an escape from the real world.
Today the real world is the escape from the internet.
Hapo screen inatoa flare flashes hatari maandishi ya kutafuta tu, storage ni disketteEnzi za win 95, 98 na 2000...
Hapo screen inatoa flare flashes hatari maandishi ya kutafuta tu, storage ni diskette
Hongera sana mkuuDarchat ilinipatia mke mwema.. Tuna watoto watatu sasa
Soma sana emails za watu ambao hawakujua ku-sign out...teh teh teh!!!
Hahahahahaaaaaaaa nilikuwa naenda sana AICC kulikuwa na Cafe floor za juu kitambo sana!!!Mmenye we ulikuwa unaongoza kushuka cafè moja hivi mitaa ya stadium pale...na lifloppy disk lako kubwa kitu 5MB tu kujaza zile picha zetu zile...
Huo na Mzibo nilikuwa siukosi pindi niingiapo Internet Cafe
Web ya porno ni phoneroticaHuo na Mzibo nilikuwa siukosi pindi niingiapo Internet Cafe
Hahaha basi utakuwa wewe ni yule Mchemba Wa ISSA CAFEHahahhhahha I'd yangu ya Dume ilikua inavuruga Sana kuna manzi niliopoaga ya upanga nikaenda kwao nikaiba mbwa wao GS
Kuna wadau tuliweza kutumia unjanja unaiminimize ile Time watcher basi inakuwa pouse msimamizi akiona hubanduki anakuja unaimiximize time inaendelea hadi anaanza kukuhesabia kwa saa yake kuwa muda wako umekwisha.....Enzi za timer kukukatia automatically kwa internet cafe..i used to love darhotwire