mtandao wa darhotwire unanikumbusha mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilipokuwa mteja wa kudumu wa cybercafe moja kubwa mitaa ya posta pembezoni mwa ukuta wa jengo la riddoch moters.Wanaouelewa uo mtandao sio vizazi vya instagraam.
Ongezea na yahoo messenger [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaouelewa uo mtandao sio vizazi vya instagraam.
Mkuu enzi izo tumekula life aise.. mambo madogo lakini matamumtandao wa darhotwire unanikumbusha mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilipokuwa mteja wa kudumu wa cybercafe moja kubwa mitaa ya posta pembezoni mwa ukuta wa jengo la riddoch moters.
nilikuwa nalipia tsh500 kwa lisaa, nilikuwa naperuzi darhotwire halafu nikijihisi kuboeka nahamia kwenye mtandao wa porn, enzi zile mtandao uliokuwa maarufu kwa picha na video za porn ni worldsex. com.
masista duu na wadada wa mujini wa miaka ile, hii cybercafe ndio ilikuwa meeting point yao. kwenda kwangu pale kulikutanisha na sista duu mmoja mwanafunzi wa jangwani girls, mwisho wa siku akaja kuwa girlfriend wangu japo kwa short term.
Yani unapo log in darhotwire demu akikubali tu kuja yahoo messenger basi amekwishaaaa hahahahaOngezea na yahoo messenger [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapo log in unamwambia demu eti njo privateDarhotwire,kitambo sana,hii ndio raha ya JF kuna kila kitu,hata ulivyovisahau huletwa humu! Long live JF.
Hahahahaha kumbe wahenga wengi bado mpoo hai ... bwana asifiweDaaah. Nilikuaga naenda Internet cafe maeneo ya mlimani City enzi hizo ila baadae nikagundua chimbo jipya ndani ya UDSM ilikuwa bei raisi kweli. Na ukifika Net unafurahi zaidi kama una headphone zako unaplay music huku unasurf Darhotwire. Baadae nika naenda Magomeni Mapipa hii cafe ambayo mpaka sasa bado ipo kwa ajili ya kuangalia porn kwa kificho sana maana walikuwa hawaruhusu
Darhotwire mtandao uliopendwa sana na watanzania mwanzoni wa miaaka ya 2000Kwani uzi unazungumzia nini?
Kuna internet Cafe ilikuwa unaingia saa kumi ukitoka unashangaa giza kaliEnzi hizo za internet cafe unaka hadi sa saba usiku
Time watcher ilikuwa inazingua sana, saa moja inakuwa kama dk 10 tuEnzi za timer kukukatia automatically kwa internet cafe..i used to love darhotwire
Hahahahahaha hapo unarudi home msosi umeshaisha ...ukikosa pesa ya kulipia internet unadataaa unatamani ata kuibaKuna internet Cafe ilikuwa unaingia saa kumi ukitoka unashangaa giza kali
May be running cost then hawakua na matangazo.But wangekaza saiv wangekua mbali mimi Nilikua addicted Sana na marafiki.com full kuopoa watoto wakali.But hawajachelewa wanaweza wakaifufua Na kutengeneza strategies nzuri Za kupiga hela kupitia matangazoma
Mkuu ata mi sijuw wamefeli wapi wakati watumizi tulikuwepo .. zero ubinifu imechangiya piya
May be running cost then hawakua na matangazo.But wangekaza saiv wangekua mbali mimi Nilikua addicted Sana na marafiki.com full kuopoa watoto wakali.But hawajachelewa wanaweza wakaifufua Na kutengeneza strategies nzuri Za kupiga hela kupitia matangazo
Hahahahah umeshaachwa enzi early 2000s ulikuwa kinder karibuHapa nimeachwa!!