Hawa ni sawa na JKT au?jeshi la RSF maarufu kama Janjaweed
Bibisii??Jana tumeelezwa nadhani kupitia BBC kuwa Tanzania ndiyo inaratibu uondoaji raia wa kigeni hasa wanafunzi kutoka Sudan. Kwa maneno mengine, nikama Tanzania tunadhibiti baadhi ya Mambo huko Sudan.
Hata hivyo, ni muhimu kujua Hali ya usalama wa Ndugu zetu huko.
Aseme nini? Sudan has been a hotspot tangu miaka ya 90, This is nothing new.. It will cool off
AaaahaaaaMkipatana katika HALAL mtatofautiana katika BATIL. Na mkipatana katika BATIL mtatofautiana katika HALAL.
Ndicho kilichopo sasa SUDAN
Kila mtu akisoma diplomasia nani atakuwa hakimu, daktari,mwalimu, injinia, dereva,polisi , unawaza kwa kutumia kinyeo,yaani nikasoma kisa ni nani azungumzie wanajeshi walinda amani halafu iweje ,ucha ushoga weweMuhusika ni waziri wa mambo ya nje.
Tujifunze Diplomasia
Hapana, muundo ni tofauti na sababu za kuanzishwa ni tofauti kabisa, JKT ipo ndani ya JWTZ lakini hao RSF hawapo ndani ya Jeshi la Sudan
USSR
Huwezi kujibu hoja bila matusi?Kila mtu akisoma diplomasia nani atakuwa hakimu, daktari,mwalimu, injinia, dereva,polisi , unawaza kwa kutumia kinyeo,yaani nikasoma kisa ni nani azungumzie wanajeshi walinda amani halafu iweje ,ucha ushoga wewe
USSR
We mbona mpuuzi puuzi na kiingereza chako!!..mambo ya jeshi uambiwe ili iweje!?..wakiona umuhimu wa kusema watasemaCool off after slaughter of thousands! Including Tanzanian soldiers! Defense minister must speak please !!! Immediately telling Tanzanians all defense mitigation measures taken to safe guard our soldiers while keeping peace in the region according to UN mission mandate ! Come on !!!