JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Dar es salaam imejaaliwa kwa uchafu! is stinking awful! you know why? 80% ya wakazi wa jiji hili ni darasa la saba B!!! Dawa ni kuweka kodi ya kichwa kubwa kwa kila mkazi wa Dar say iwe tshs 100,000/ kwa mwaka na mikoani kusiwe na kodi ya kichwa ili watu wahame wenyewe na kwenda kuishi mikoani.