Daressalaam? What a shame!!!

Pharaoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
843
Reaction score
158
What is the meaning and history of this shameful name?
Why the City is dirty like this?
 
Very dirty, By the way where are coming from?
 
😕aaaaaah, this city bwanaaaa! jst politics, politics, and a lot of talking for nothing.
 
What is the meaning and history of this shameful name?
Why the City is dirty like this?

Mwalimu aliwahi kusema kuwa kuna watanzania hata vyeti vyao ukutani vimetandwa na buibui wakiwa hawana habari. Zamani nilikuwa najiuliza kwa nini shule ya Uhuru hapo kariakoo ilikuwa imechakaa wakati watu kama marehemu Kawawa alisoma hapo. Nilikuwa najiuliza safari zote akipita hapo kwenda airport haoni aibu au ilkuwa hana pride ya mahali aliposomea. Kwa bahati mbaya siyo marehemu tu bali ni culture ya viongozi tulionao which is a reflection ya sisi watanzania.
 
Jiji kuu is the main National identity kama nembo ya taifa, ndio utambulisho wa Watanzania wote, ila kwa hali hii from name to organisation is Aibu Kubwa
 
Utajiuliza sana, hadi utapata kiu, utakunywa maji ya chupa na kuitupa hapo pembeni. Poleni
 
Au Tibaijoka na Mwakyembe wapewe uongozi wa Jiji?
 
Mimi naandaa maandamano kushinikiza viongozi wa Jiji wajiuzulu wenyewe
 
Sasa hebu toka mjini halafu fanya kama unakosea hivi uingie mitaani , aibu ! Nyumba moja, wapangaji 100, choo kimoja cha shimo !
 
What is the meaning and history of this shameful name?
Why the City is dirty like this?

Ninyi mnaokuja(wageni) ndo chanzo cha uchafu huo unaouona hapo kwani hamjui yaliko madust bin!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi naandaa maandamano kushinikiza viongozi wa Jiji wajiuzulu wenyewe

Jitathimin wewe kwanza,kwani wewe ni chanzo cha tatizo(uchafu)!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kila sehemu kunanuka tena katikati ya jiji wachuuzi wanapanga biashara mpaka katikati ya barabara halafu meya anaweka bango kuuza sura
 
Ninyi mnaokuja(wageni) ndo chanzo cha uchafu huo unaouona hapo kwani hamjui yaliko madust bin!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Dear brother your really a part of the problem, you even dictate the matter? Are you one of them?
 

Acha ulongo wee, Kawawa alisoma songea boys
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…