Huyo mzungu yupo sahihi, unatengeneza vipi uchumi wa kati wakati unaua middle income earners na makodi yasiyo na kichwa wala miguu. Mfano, mfanyakazi anakatwa PAYE kila mwezi na wakati huo huo analipia VAT kwenye kila bidhaa na huduma anayotumia, hapo hapo kila siku anawindwa na trafiki atoe pesa ya kubrashia viatu. Eti tunatengeneza uchumi wa kati. PATHETICHuyu Mzungu nimemuelewa sana
Tanzania ya viwanda inawezekana, na inaanza na wewe,Kampuni ya kusindika pombe ya Kiasili Darbrew maarufu kama Chibuku iliyopo Ubungo imesitisha uzalishaji wa pombe hiyo tangu mwezi huu kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu na soko kudorora.
Darbrew ni kampuni inayomilikiwa na TBL 60% na halmashauri ya jiji 40%.
Tayari asilimia 80% ya wafanyakazi hao wameshapewa barua ya kuachishwa kazi na kupewa malipo yao.
Ikumbukwe kuwa Kampuni hii ni moja ya kampuni 10 zilizokuwa zinaongoza kwa ulipaji wa kodi mzuri nchini.
Rejea:
Dar Brew (Chibuku) yapunguza wafanyakazi 60 - JamiiForums
Zubaa uliwe: Chibuku inalipa kodi kubwa zaidi ya dhahabu na makampuni ya simu - tz yetu noma - JamiiForums
Unakua kuelekea chini au?Si tunaambiwa uchumi unakuwa
juu na tunaambiwa tutembee vifua mbeleUnakua kuelekea chini au?
Vipi unashida gani? Ulikuwa unatumia kinywaji hiki?Napita hapa daily pako kimy'aa. Kama kunamsiba vile aisee!
Kitu Cha Chibuku ,walijitahidi kwenye package siku za karibuniPigo kwa sisi wanywaji/walevi
Ova
Basi tu nimepita hapa jamaa ananiambia kimefungwa. Nikajisemea kimoyomoyo hivi ni zile Beer za 3 kwa 3000 ndio zimesababisha?Vipi unashida gani? Ulikuwa unatumia kinywaji hiki?
Kwani unapita wapi daily - JF or Dar brew? Hapa si ni JF ama ni Dar brew?Napita hapa daily pako kimy'aa. Kama kunamsiba vile aisee!
Kote!Kwani unapita wapi daily - JF or Dar brew? Hapa si ni JF ama ni Dar brew?
Matapu tapu ruksa kusitisha maana hata watumiaji wake ni kuduchu ila OG bear watu wangechonga sana humuKampuni ya kusindika pombe ya Kiasili Darbrew maarufu kama Chibuku iliyopo Ubungo imesitisha uzalishaji wa pombe hiyo tangu mwezi huu kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu na soko kudorora.
Darbrew ni kampuni inayomilikiwa na TBL 60% na halmashauri ya jiji 40%.
Tayari asilimia 80% ya wafanyakazi hao wameshapewa barua ya kuachishwa kazi na kupewa malipo yao.
Ikumbukwe kuwa Kampuni hii ni moja ya kampuni 10 zilizokuwa zinaongoza kwa ulipaji wa kodi mzuri nchini.
Rejea:
Dar Brew (Chibuku) yapunguza wafanyakazi 60 - JamiiForums
Zubaa uliwe: Chibuku inalipa kodi kubwa zaidi ya dhahabu na makampuni ya simu - tz yetu noma - JamiiForums
Kama unapita Darbrew useme unapita Darbrew siyo napita hapa. Hapa siyo Darbrew. Hapa ni JF. Usifikiri kuwa kila mtu yuko hapo njiani na wewe ukipita naye hapo Darbrew.Kote!