donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,049
- 21,526
aha aauhMSAGA SUMU mida ya wanga
Hamna kitu MkuuJamaa karudi vizuri
Daah umenena vyema mkuuHii ngoma kama ataipush sana inaweza ikamrudisha... Tatizo kila ngoma atakayotoa watu wanataka iifikie "mziki" wanasahau ile ni hit song na mara nyingi huwa zinatokeaga tu baada ya kukutana na upepo mzuri
Hahaha, apia?Hii video leo imenisaidia kupata girl niliyekuwa na mfukuzia aseeeeee wiki ijayo namgegegda.....
HINT.
WIKI IJAYO NA MGEGEDA ,,NA PIA NITALETA MREJESHO
Kabisa mkuu, kioo Cha ukweli na beat ila ngoma naona kawaida sanaYaani ni ngoma ya kawaida tu, jamaa hajabadilika kutoka katika style aliyozoeleka na wananchi. Kwa kimya alichokaa hakupaswa kuja kwa mtindo huu. Producer amefanya maajabu, beat kaliii, video mashallah pia
kweeeeliiiiii donluccheseHahaha, apia?
Well said ngoma nzurii sana ukiangalia hata producer amefanya kazi nzuriWrite your reply...wimbo ni mzuri sana tu!! hauna tofauti na maisha na muziki!! halafu hiyo style ndo Identity yake kwa sasa hvyo huwezi kusema anaimba styles zile zile!!! Yeye ni Darassa na anaghani kama Darassa!!!
Write your reply...wimbo ni mzuri sana tu!! hauna tofauti na maisha na muziki!! halafu hiyo style ndo Identity yake kwa sasa hvyo huwezi kusema anaimba styles zile zile!!! Yeye ni Darassa na anaghani kama Darassa!!!