Kutongoza hakufuati kanuni.
We hua unatongozaje vile...?!
We hua unatongozaje vile...?!
I exude a ton of swag and thats enough to make a lady swoon over me and thereafter everything falls into place.
yaani ni washamba sana sijui walinionaje jamani?Japokuwa kumuaproach mwanamke hakuna fomula ila hiyo ya hao ni ya kijinga sana,kutongoza kunategemea na mwanamke mwenyewe utakavyomsoma,dada hao ni wajinga sana!
sasa wewe unafikishaje ujumbe?Kwanza siku hizi kuna kutongoza tena kweli
maana nfikiri kutongoza kumebaki kwa hivi vitoto vya sekondary na msingi
mtu mzima najipinda kweli kutongoza na kutangaza sera zangu nyingi na ahadi nyingi za uongo
sasa wewe unafikishaje ujumbe?
<br />yaani ni washamba sana sijui walinionaje jamani?
jinsi ya kumkonvice mtu mwende iyo sehemu tulivu suppose ni mgeniyaani nikikaa na wewe kwa siku mbili tatu kweney maeneo tulivu na vile nitakavyokupeleka maeneo yaliyotulia na muangalio wangu kwako na maneno ambayo nitakuwa nakupa wakati tukiwa wawili sina haja ya kukupa sera za kukudanganya wala nini
sasa mambo ya underwear yanatoka wapi siku ya kwanza? inaelekea ananiwazia tu ngono au sio jamani?<br />
<br />
Jiangalie vizuri dada sisi wanaume wakatimwingine ni shida!
<br />sasa mambo ya underwear yanatoka wapi siku ya kwanza? inaelekea ananiwazia tu ngono au sio jamani?