Picha kwa hisani ya wavuti.com
madawati hadi serikali kuu itengeneze?
halmashauri wanafanya nini? Picha hii imechukuliwa moro kwenye mbao za kumwaga
kwanini wazazi na viongozi wa kila kata wasijitume kuyatengeneza?
nakumbuka nkisoma moshi madawati yalikuwa mengi hadi stoo....
kwahiyo umeleta bandiko lako ili kuwatukana wa Moro na kuwasifia wa Moshi, inaelekea moshi wewe hujui na huijui Tanzania na huna uzalendo
Picha kwa hisani ya wavuti.com
madawati hadi serikali kuu itengeneze?
halmashauri wanafanya nini? Picha hii imechukuliwa moro kwenye mbao za kumwaga
kwanini wazazi na viongozi wa kila kata wasijitume kuyatengeneza?
nakumbuka nkisoma moshi madawati yalikuwa mengi hadi stoo....
Picha kwa hisani ya wavuti.com
madawati hadi serikali kuu itengeneze?
halmashauri wanafanya nini? Picha hii imechukuliwa moro kwenye mbao za kumwaga
kwanini wazazi na viongozi wa kila kata wasijitume kuyatengeneza?
nakumbuka nkisoma moshi madawati yalikuwa mengi hadi stoo....
Picha kwa hisani ya wavuti.com
madawati hadi serikali kuu itengeneze?
halmashauri wanafanya nini? Picha hii imechukuliwa moro kwenye mbao za kumwaga
kwanini wazazi na viongozi wa kila kata wasijitume kuyatengeneza?
nakumbuka nkisoma moshi madawati yalikuwa mengi hadi stoo....
nimesoma oldmoshi highschool stuli zilikuwa maabara tu, tulikuwa tunasoma Bam na siasa ndani ya chumba cha RR hakukuwa na dawati hata moja, o-level walikuwa wanakalia vipande vya kuni. My point as a GT ni kuwa unabeza mkoa mmoja vzvz mwingine wakati mikoa yote ni watoto wa mama mmoja.kwa upeo wako utaona nimetukana Mkuu lakini sio hivo
kwa great thinker ataona nimetoa challenge ni kwanini wanafunzi wakae chini wakati miti ipo.Nimesoma shule Moshi nimeishi humo nimesoma humo sasa unataka nipajueje ndugu?
Watanzania wanataka kusifiwa hawataki kuambiwa ukweli.
Toa elimu hii kwa wazazi na maeneo ulipo kama ni Songea
madawati sio lazima wasubiri misaada vodacom au serikali kuu.
nimeweka hii picha kuonyesha uzalendo wangu,nikiwalilia watoto,
labda ulitaka uzalendo upi? niwasifie viongozi??
nimesoma oldmoshi highschool stuli zilikuwa maabara tu, tulikuwa tunasoma Bam na siasa ndani ya chumba cha RR hakukuwa na dawati hata moja, o-level walikuwa wanakalia vipande vya kuni. My point as a GT ni kuwa unabeza mkoa mmoja vzvz mwingine wakati mikoa yote ni watoto wa mama mmoja.