mimi darasa nimeanza kumfatilia juzi tu baada ya kutoa kama utanipenda..
nafikiri ndo mziki uliompa kiki kwa sisi tusiofatilia hiphop
alafu kapata beat maker mzuri
mziki wowote bwana beat
hata kama ukiwa mbaya ila beat likiwa zuri na ukaenda nalo
mambo yote yanakua mstarini...