BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Huko ndio kwao kiwalani, aliko zaliwa kabisaThis might be true...kuna jamaa aliwahi kuniambia huwa anamuona sana Darassa maeneo ya ,"kwa binti Musa"....
Bora watumie mchembe,fulu na minumbu!daaaa udaga utawamaliza vijana
Kweli kabisa Mkuu! Atakuwa ametuangusha sana! Maana nilikuwa namkubali sana huyu Jamaa!mh huyu darasa ametuangusha sana mashabiki wa music wake.
Kama taarifa hizi ni za Kweli ni pigo kubwa sana kwenye tasnia.
Toka darasa ameanza kufanya music hajawahi kuniangusha. Ila hili la ngada mh ni aibu hata kujitangaza wazi wazi kuwa ni shabiki wake.Kweli kabisa Mkuu! Atakuwa ametuangusha sana! Maana nilikuwa namkubali sana huyu Jamaa!
Kile kipindi alipopotezwa walimuazishia doze.. Sio kosa lake.. Si kila teja aliungua kwenye madawa kwa hiari.. Wengine wana story za kutishana nyuma yao...Baada ya ukimya wa Darassa na kutoonekana kabisa mahali popote taarifa nyeti na za uhakika ni kwamba msanii Darassa amefungiwa na ndugu zake kwa baba yake mkubwa Kiwalani kutokana na matumizi ya unga.
Waliamua kuchukua hatua ili ndugu yao huyo asije kuwaaibisha mbele ya jamii kutokana na umaarufu wake alionao.
Vijana acheni madawa
Great thinker's reply [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Jamani very sad,
basi kuna watakaomlaumu humu...
ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}
hata kuingiaga JF pia ni addiction,
sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....
sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...
siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...