Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,015
Hongera sana. Ila usisahau issue ya kufix tatizo la short kwenye computerSawa Mkuu Ila Matatizo Ya Pc Yako Mengi, Nimeona Tuanze Na Introduction Na Basic Concept Watu Wakishajua Tunaanza Kuchimba.
Ok Boss Hio Sio Bios Admin PasawordHii PC nilikuwa naitumia ofisini, kuna kipindi nilitoka kikazi, nikamuachia aliyekuwa anafanya kazi na mimi.
PC watu wa IT waliweka Administration password, na hii mimi niliongea na mtu wa IT baada ya kuambiwa jamaa anaitumia Laptop vibaya.
Huko nilikoenda nimeshindwa kurejea pale ofisini na Laptop yangu nimeenda kuichukua. Shida ipo hapa, siwezi kuinstall chochote pasipo hii password kuwepo, siwezi kumake baadh changes pasipo hiyo password na naogopa kupiga windows sababu sifanya partition na nna vitu vingi mno vya msingi.
Hongera sana. Ila usisahau issue ya kufix tatizo la short kwenye computer
Mkuu Pole Na Tatizo La PC Yako, Kama Huifahamu Hii Password Bac Tumia Software Inaitwa PC Unlocker, Ita Reset Hiyo Password Bila ShidaMkuu hivi pc ambayo ipo connected kwenye local area network na iko restricted ku install program yeyote yaani unapo install program inadai administrator password.
Hicho kikwazo nakirukaje?
Karibu MkuuSubscribed
Karibu MkuuAsante kwa somo zuri.
PCUnlocker Inapatikana Torrent Mkuu Sio Kubwa.Mkuu hivi pc ambayo ipo connected kwenye local area network na iko restricted ku install program yeyote yaani unapo install program inadai administrator password.
Hicho kikwazo nakirukaje?
PCUnlocker Inapatikana Torrent Mkuu Sio Kubwa.
Saw Boss Karibu SanaAhsante kwa kutuwekea pia ktk softcopy nitakuwa napitia narudia rudia..
Aaaaaah Tutatfuta Na Session Ya Kuzungumzi Torrent Na Softwares Muhimu Kwa Tech Person.Usinishangae kwa swali LA kijinga.. Torrent ni nini?
Karibu Bossgood . keep it up!
Ingelipendeza zaidiSawa Mkuu Ila Matatizo Ya Pc Yako Mengi, Nimeona Tuanze Na Introduction Na Basic Concept Watu Wakishajua Tunaanza Kuchimba.
Karibu mkuuAsante.
Asant MkuuHongera mleta mada
Saw mkuuIngelipendeza zaidi