Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced)

safi mkuu tupo pamoja pm namba yako kuna mtu anasumbua muda wa kumfundisha sina na talanta ya kufundisha km wewe sijajaliwa
hvyo nipe namba yako nitampasia na imani mkielewana atakulipa kwa namna mtakavyokubaliana
Hakuna Haja Ya Malipo Bro.
Nikipata Muda Nitamuelekeza Na Kumsaidia Baadhi Ya Mambo
Maisha Sio Pesa Tu.
 
Karibu Mkuu
Asante sana mkuu naamini utatusaidia but once nkifanikiwa mambo yangu we jamaa lazima nije kukupa zawadi maana umefumbua macho kwenye kompyuta i like to know software engineering hata bila kukaa darasan. Please help us
 
Usijali Mkuu, Zawadi Yangu Wafundishe Wengine Wasio Na Ajira!
Naamin Tutafika
 
Asante sana mkuu naamini utatusaidia but once nkifanikiwa mambo yangu we jamaa lazima nije kukupa zawadi maana umefumbua macho kwenye kompyuta i like to know software engineering hata bila kukaa darasan. Please help us
Software Repair Ni Part Tu Ya Software Engineering, Unahitaji Kufahamu Vingi Mpaka Uitwe Software Engineer, Unatakiwa Kujua Coding Sana.
Utafika Weka Juhudi
 
Pamoja mkuu
 
Mkuu hivi pc ambayo ipo connected kwenye local area network na iko restricted ku install program yeyote yaani unapo install program inadai administrator password.
Hicho kikwazo nakirukaje?
 
Hii PC nilikuwa naitumia ofisini, kuna kipindi nilitoka kikazi, nikamuachia aliyekuwa anafanya kazi na mimi.

PC watu wa IT waliweka Administration password, na hii mimi niliongea na mtu wa IT baada ya kuambiwa jamaa anaitumia Laptop vibaya.

Huko nilikoenda nimeshindwa kurejea pale ofisini na Laptop yangu nimeenda kuichukua. Shida ipo hapa, siwezi kuinstall chochote pasipo hii password kuwepo, siwezi kumake baadh changes pasipo hiyo password na naogopa kupiga windows sababu sifanya partition na nna vitu vingi mno vya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…