Darasa huru kwa vijana

Darasa huru kwa vijana

Who sits down and make these? Mnakanyagana kurudia rudia threads ambazo haziakisi msaada kwa kijana wa kiTz
 
KIjana mimi nimeoa, kijana wangu ana miaka 21; mimi umri wangu ni miaka 45; tumia calculator utajua hapo!
Hongera sana, nikiwa na 28 nilipata transfer ya kikazi na mwenza wangu alikua mbali alipata mtu mwingine...
Hivyo mpk akili kutulia ilinichukua mda kidogo...
Yote tisa, mungu ndo mpangaji wa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana, nikiwa na 28 nilipata transfer ya kikazi na mwenza wangu alikua mbali alipata mtu mwingine...
Hivyo mpk akili kutulia ilinichukua mda kidogo...
Yote tisa, mungu ndo mpangaji wa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah; hilo ni jambo jingine ambalo hupaswi kulaumiwa; nawachukia wanaopoteza muda eti kuponda raha na kuchelewa kuanza majukumu mapema; ila kwa hilo inabidi nikupe pole na nikutie moyo usaau hayo yaliyopita.
 
iv inakuaje mtu anaanza ku'dislike post muhim kama ih au ndo ukwel unauma

ben.big.boss
 
30 hujaoa? Kwisha habari yako!
Mbona haya mambo ya kuoa waafrika tumeyashikia njuga sana???Kwakwel kuoa ni hiyari na utayari wa mtu.Nafikiri hakuna anayenipangia nioe kwa kigezo cha umri ama kipato cha kukizi mahitaji.

Ndoa ni kama msiba.Siku ya ndoa wanakusanyika bada ya hapo wanatawanyika hutaona msaada wa yeyote hata wa 'kibaba cha unga'

Kijana oa unapoona ni wakati sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom