Daraja la Wami Chalinze-Segera lazibwa

Daraja la Wami Chalinze-Segera lazibwa

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
830
Reaction score
184
Lori la Mkaa Usiku wa saa nane liligonga daraja na kuzuia magari yanayopita daraja hilo kukwama tokea iyo usiku muda huu.Source Clouds'BONGE
 
Sasa kuna uhusiano gani kati ya hii taarifa na siasa? Ili si jukwaa la siasa?
 
wewe Kiazi elewa kuna zaidi ya Watanzania 2000,pale wamekwama kuendelea na safari,Waliokuwa wanakwenda Kuzika Kaskazini wamekwama na Miili ya marehemu wao pale wewe unatumia Masaburi yako tuu.
 
thanx for the inf,but hapa si mahala pake.

Mahali pake ni kwenye Masaburi yako.UKIKOSA BIDHAA MUHIMU TOKEA KASKAZINI NA KASKAZINI LEO HAWANA MAGAZETI Ndio mahali pake?KICHWA KAMA KIKWETE
 
wewe Kiazi elewa kuna zaidi ya Watanzania 2000,pale wamekwama kuendelea na safari,Waliokuwa wanakwenda Kuzika Kaskazini wamekwama na Miili ya marehemu wao pale wewe unatumia Masaburi yako tuu.

sasa si washushe hayo majeneza wazike haoo wami mbona mapori kibao..na nyie mmezidi kupenda kuzika moshi ndo mkome sasa leo
 
Back
Top Bottom