Aulizwe McherengwaHakuna njia mbadala?
NdioSaivi ama
Hawa ndio wanaojiita makamanda aisee.Tunamshukuru sana mama Samia kwa mvua nyingi mpk madaraja yanakatika. Nani kama mama?
Labda kupitia RuvumaHakuna njia mbadala?
Mungu atunusuruNdio
Njia mbadala zipo nyingi tuu.Hakuna njia mbadala?
Yeah!Saivi ama
mwaka 2006 nakiwa chuo nilipita hapa,hali ilikuwa hivi hivi na madai yakawa Mkapa amemuachia JK amalizie hapo.
kaondoka JK,kaja JPM ,sasa Samia,Somanga bado ni habari ile ile,LEO tarehe 06/04/2025 habari imerudi tena,MAWASILIANO YA DAR NA MTWARA YAMEKATIKA.
AsantePole Yao.