We ni jipu tena ilibidi uwe mirembe saivi au laa kigamboni unaisikia tu hujawahi kuvuka kwenda kigamboni ni bora ungepita kimya ukaficha uchizi wako kuliko pumba ulizotapika hapo mbaya zaidi ukasema bora flyover ya tazara kuliko daraja la kigamboni we ni mfu.Daraja watu wanashangilia kitu ambacho hakina impact yeyeto hasa kwa uchumi WA nchi. Kama tumejenga Daraja Kama kivutio cha utalii is Ok lakini kujenga Daraja sawa na kujenga barabara ya kuunganisha wilaya ya Sengerema na Mwanza. Nchi hii tumefika Hapa kwa ajili watu wanashangilia vitu visivyo na umuhimu wowote Licha ya mipango mingine kuigharimu Tanzania mabilioni ya shilingi.
Naweza nikashangilia Ujenzi WA flyover lakini si Ujenzi WA Daraja la Kigamboni.
mkuu sio yeye ni matokeo ya kiroba orijinoWe ni jipu tena ilibidi uwe mirembe saivi au laa kigamboni unaisikia tu hujawahi kuvuka kwenda kigamboni ni bora ungepita kimya ukaficha uchizi wako kuliko pumba ulizotapika hapo mbaya zaidi ukasema bora flyover ya tazara kuliko daraja la kigamboni we ni mfu.
Nilifurahi sana mkuu wa mkoa wenu alivyopiga marufuku viroba,bahat mbaya siasa zikaingia,haya ndo madhara yake.Daraja watu wanashangilia kitu ambacho hakina impact yeyeto hasa kwa uchumi WA nchi. Kama tumejenga Daraja Kama kivutio cha utalii is Ok lakini kujenga Daraja sawa na kujenga barabara ya kuunganisha wilaya ya Sengerema na Mwanza. Nchi hii tumefika Hapa kwa ajili watu wanashangilia vitu visivyo na umuhimu wowote Licha ya mipango mingine kuigharimu Tanzania mabilioni ya shilingi.
Naweza nikashangilia Ujenzi WA flyover lakini si Ujenzi WA Daraja la Kigamboni.
Mkuu sio vilikaribia kuua watu, wamekufa watu kwenye hicho kivuko na kilikuwa kimeharibika hakuna kivuko watu wanavushwa kwa Mitumbwi!Mpaka kigamboni kulikuwa kunaitwa Falkland!.Hivi ni mara ngapi vivuko vimekaribia kuua maelfu hapo Kigamboni..hilo hulioni..
Aisee...!!!Kamera zaid ya Nne zimeshaibiwa masaa machache tangu kufunguliwa daraja hilo
Source:Julius Mtatiro
Na wala sio Gongo la Mboto! Atakuwa ni wale walioanzishiwa Jukwaa la Kilimo hivi karibuni manake sidhani kama kuna mkazi wa G . Mboto ambae hajawahi fika Ferry akaona shida wanayopata watu pale.Hajielewi...yeye anakaa gongo la mboto ndio maana haoni umuhimu
Huishi kigamboni mkuu,halafu hata uchumi huujui pia..Daraja watu wanashangilia kitu ambacho hakina impact yeyeto hasa kwa uchumi WA nchi. Kama tumejenga Daraja Kama kivutio cha utalii is Ok lakini kujenga Daraja sawa na kujenga barabara ya kuunganisha wilaya ya Sengerema na Mwanza. Nchi hii tumefika Hapa kwa ajili watu wanashangilia vitu visivyo na umuhimu wowote Licha ya mipango mingine kuigharimu Tanzania mabilioni ya shilingi.
Naweza nikashangilia Ujenzi WA flyover lakini si Ujenzi WA Daraja la Kigamboni.
Mkuu unaona daraja alina umuhimu kwa vile si mtumiaji au si mkazi wa yale maeneo usika na ujui adha walizokuwa wanazipata wakazi wa kule...Daraja watu wanashangilia kitu ambacho hakina impact yeyeto hasa kwa uchumi WA nchi. Kama tumejenga Daraja Kama kivutio cha utalii is Ok lakini kujenga Daraja sawa na kujenga barabara ya kuunganisha wilaya ya Sengerema na Mwanza. Nchi hii tumefika Hapa kwa ajili watu wanashangilia vitu visivyo na umuhimu wowote Licha ya mipango mingine kuigharimu Tanzania mabilioni ya shilingi.
Naweza nikashangilia Ujenzi WA flyover lakini si Ujenzi WA Daraja la Kigamboni.
Tena atakua anatokea msambwingongelo ...eti haoni umuhim wa daraja...anaona wivu kwa kua liko darUTAKUWA WA MKOA WEWE
Hivi ni mara ngapi vivuko vimekaribia kuua maelfu hapo Kigamboni..hilo hulioni..
hapana huyu itakuwa ni MkenyaUTAKUWA WA MKOA WEWE
Hilo watu wengine hawalioni..wao kila kitu ni siasa tu..Mkuu sio vilikaribia kuua watu, wamekufa watu kwenye hicho kivuko na kilikuwa kimeharibika hakuna kivuko watu wanavushwa kwa Mitumbwi!Mpaka kigamboni kulikuwa kunaitwa Falkland!.
Kuna ndugu zangu wanaishi huko akitaka kuvuka kwa gari lake asubuhi kama ana ahadi na mtu saa 2 asubuhi inabidi amke saa 10 alfajiri ili kuwahi miadi yake. Mwingine anafanyakazi jirani na Salamander au Ex telecom gari analiacha mitaa ya kina Scaba Scuba anavuka bila gari akitoka kazini jioni analipitia kurudi kwake mji mwema.
Na mi naamini atakuwa mkenya..au ni waleee..wakuzungusha..hapana huyu itakuwa ni Mkenya
Hilo watu wengine hawalioni..wao kila kitu ni siasa tu..
Nimeona..hakika ni ukombozi mkubwa...View attachment 339717View attachment 339718View attachment 339720View attachment 339721
Mkuu nilikuwa nimekwenda kutalii leo kujionea Daraja kabla ufunguzi rasmi,kwa kweli adhabu ya kusubiri kivuko saa tatu hujavuka umepata muarubaini wake.
Ushuhuda picha hizo na kitochi changu [emoji12] [emoji1] [emoji23]
Magu kanuna kichz,,