Daraja la Kigamboni

Daraja la Kigamboni

Daraja watu wanashangilia kitu ambacho hakina impact yeyeto hasa kwa uchumi WA nchi. Kama tumejenga Daraja Kama kivutio cha utalii is Ok lakini kujenga Daraja sawa na kujenga barabara ya kuunganisha wilaya ya Sengerema na Mwanza. Nchi hii tumefika Hapa kwa ajili watu wanashangilia vitu visivyo na umuhimu wowote Licha ya mipango mingine kuigharimu Tanzania mabilioni ya shilingi.
Naweza nikashangilia Ujenzi WA flyover lakini si Ujenzi WA Daraja la Kigamboni.
We ni jipu tena ilibidi uwe mirembe saivi au laa kigamboni unaisikia tu hujawahi kuvuka kwenda kigamboni ni bora ungepita kimya ukaficha uchizi wako kuliko pumba ulizotapika hapo mbaya zaidi ukasema bora flyover ya tazara kuliko daraja la kigamboni we ni mfu.
 
mkuu sio yeye ni matokeo ya kiroba orijino
 
Daraja watu wanashangilia kitu ambacho hakina impact yeyeto hasa kwa uchumi WA nchi. Kama tumejenga Daraja Kama kivutio cha utalii is Ok lakini kujenga Daraja sawa na kujenga barabara ya kuunganisha wilaya ya Sengerema na Mwanza. Nchi hii tumefika Hapa kwa ajili watu wanashangilia vitu visivyo na umuhimu wowote Licha ya mipango mingine kuigharimu Tanzania mabilioni ya shilingi.
Naweza nikashangilia Ujenzi WA flyover lakini si Ujenzi WA Daraja la Kigamboni.
Nilifurahi sana mkuu wa mkoa wenu alivyopiga marufuku viroba,bahat mbaya siasa zikaingia,haya ndo madhara yake.
 
Hivi ni mara ngapi vivuko vimekaribia kuua maelfu hapo Kigamboni..hilo hulioni..
Mkuu sio vilikaribia kuua watu, wamekufa watu kwenye hicho kivuko na kilikuwa kimeharibika hakuna kivuko watu wanavushwa kwa Mitumbwi!Mpaka kigamboni kulikuwa kunaitwa Falkland!.
Kuna ndugu zangu wanaishi huko akitaka kuvuka kwa gari lake asubuhi kama ana ahadi na mtu saa 2 asubuhi inabidi amke saa 10 alfajiri ili kuwahi miadi yake. Mwingine anafanyakazi jirani na Salamander au Ex telecom gari analiacha mitaa ya kina Scaba Scuba anavuka bila gari akitoka kazini jioni analipitia kurudi kwake mji mwema.
 
Hajielewi...yeye anakaa gongo la mboto ndio maana haoni umuhimu
Na wala sio Gongo la Mboto! Atakuwa ni wale walioanzishiwa Jukwaa la Kilimo hivi karibuni manake sidhani kama kuna mkazi wa G . Mboto ambae hajawahi fika Ferry akaona shida wanayopata watu pale.
 
Daraja watu wanashangilia kitu ambacho hakina impact yeyeto hasa kwa uchumi WA nchi. Kama tumejenga Daraja Kama kivutio cha utalii is Ok lakini kujenga Daraja sawa na kujenga barabara ya kuunganisha wilaya ya Sengerema na Mwanza. Nchi hii tumefika Hapa kwa ajili watu wanashangilia vitu visivyo na umuhimu wowote Licha ya mipango mingine kuigharimu Tanzania mabilioni ya shilingi.
Naweza nikashangilia Ujenzi WA flyover lakini si Ujenzi WA Daraja la Kigamboni.
Huishi kigamboni mkuu,halafu hata uchumi huujui pia..
 
Mnavyonsifia dr daudi ni kama mtu akusifie wewe kwa kulea familia yako na wakati ni wajibu wako
 
Daraja watu wanashangilia kitu ambacho hakina impact yeyeto hasa kwa uchumi WA nchi. Kama tumejenga Daraja Kama kivutio cha utalii is Ok lakini kujenga Daraja sawa na kujenga barabara ya kuunganisha wilaya ya Sengerema na Mwanza. Nchi hii tumefika Hapa kwa ajili watu wanashangilia vitu visivyo na umuhimu wowote Licha ya mipango mingine kuigharimu Tanzania mabilioni ya shilingi.
Naweza nikashangilia Ujenzi WA flyover lakini si Ujenzi WA Daraja la Kigamboni.
Mkuu unaona daraja alina umuhimu kwa vile si mtumiaji au si mkazi wa yale maeneo usika na ujui adha walizokuwa wanazipata wakazi wa kule...
 
Mkuu sio vilikaribia kuua watu, wamekufa watu kwenye hicho kivuko na kilikuwa kimeharibika hakuna kivuko watu wanavushwa kwa Mitumbwi!Mpaka kigamboni kulikuwa kunaitwa Falkland!.
Kuna ndugu zangu wanaishi huko akitaka kuvuka kwa gari lake asubuhi kama ana ahadi na mtu saa 2 asubuhi inabidi amke saa 10 alfajiri ili kuwahi miadi yake. Mwingine anafanyakazi jirani na Salamander au Ex telecom gari analiacha mitaa ya kina Scaba Scuba anavuka bila gari akitoka kazini jioni analipitia kurudi kwake mji mwema.
Hilo watu wengine hawalioni..wao kila kitu ni siasa tu..
 
1460925816484.jpg
1460925857036.jpg
1460925943574.jpg
1460926006024.jpg

Mkuu nilikuwa nimekwenda kutalii leo kujionea Daraja kabla ufunguzi rasmi,kwa kweli adhabu ya kusubiri kivuko saa tatu hujavuka umepata muarubaini wake.
Ushuhuda picha hizo na kitochi changu
 
Back
Top Bottom