Daraja la Busisi mbona silioni kwenye budget?

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,971
11,380
Hebu mulio na randama za budget munisaidie mbona sisikii daraja la busisi likiongelewa? Au zilikuwa saund za kumuuza kumnadi kitwanga kwa wapiga kura.
 
Haujaangalia lipo fungu. .imetengwa Mil 800 for feasibility study.
 
Hebu mulio na randama za budget munisaidie mbona sisikii daraja la busisi likiongelewa? Au zilikuwa saund za kumuuza kumnadi kitwanga kwa wapiga kura.
Kwani kivuko si kipo na mkishindwa mpige mbizi tu
 
Daraja halina umuhimu wowote kwa sasa hapo busisi ni bora hiyo pesa ikajenga barabara ya lami kutoka kamanga-katunguru-sengerema.pia toka Katunguru-nyamazugo-Luchili-Nyehunge.
 
serikali ya ccm haiwez weka lami kamanga to Sengerema,wanaogopa watakosa ushuru busisi.labda kuelekea nyehunge,
 
Daraja halina umuhimu wowote kwa sasa hapo busisi ni bora hiyo pesa ikajenga barabara ya lami kutoka kamanga-katunguru-sengerema.pia toka Katunguru-nyamazugo-Luchili-Nyehunge.
Halina umuhimu? ulishawahi pita busisi? Anyways hiyo ndio barabara inayokwenda hadi Uganda, Rwanda, Burundi, Congo etc..plus kuna jam sana pale
 
mimi niko mwanza nilikuwa naenda Geita na lori nimesubiria kuvuka tangu saa 9 mpaka saa tano usiku ndo navuka foleni kuna siku inakuwa kubwa kupindukia kwa hiyo daraja litatusaidia sana mkuu
 
Halina umuhimu? ulishawahi pita busisi? Anyways hiyo ndio barabara inayokwenda hadi Uganda, Rwanda, Burundi, Congo etc..plus kuna jam sana pale
Nimepita hapo miaka 3 iliyopita, wakati ule hali haikuwa mbaya kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom