Daraja hili linanichanganya, wewe je?

Hapo shanghai unaweza ukajikuta unazunguka hapo kutwa nzima
 
Tofauti ya wenzetu na sisi ni moja! Kila mtu na taaluma yake bila kuingiza siasa. Kama TBC ina Mkurugenzi na msemaji wake ila anayeisemea na kuiamulia ni Nape na Majaliwa! Halafu Rais anashangaa nani aliyetuloga. Sisi bado sana
 
Mbele shule zinawasaidia naona hawakariri kabisa vitu vinaonekana sio sisi Elimu yetu ya kujitangaza tuu mara GPA mara chuo hiki bora mpaka mwisho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…