Dar young Africans: Jangwani complex

Hivi Yusu_fu Man_nji ametimiza ahadi gani alizoahidi? Complex haijajengwa na wala 5-0 hazijarudi
 
Nakumbuka Simba alipomwambia Yanga, 'This I promise You' (Goli tano bila),

Na kweli akampa bila aibu!:lol:
 
Manji taperi Sana!,aliahidi kujenga uwanja wa kisasa eneo hili...
 
mshana jr hiyo itanifanya nisije Dar
naogopa mafuriko a.k.a wakazi wa mbondeni si muhame.
 
Last edited by a moderator:
mshana jr hiyo itanifanya nisije Dar
naogopa mafuriko a.k.a wakazi wa mbondeni si muhame.

Kuna raha yake kuishi mabondeni! Wakati wa mvua shida nyingi huisha mfano ni maji na kitoweo
 
Last edited by a moderator:
siasa kwenye michezo ni vitu viwili tofautiii...wakina jerry muro wanaishia kuongea tu badala ya kushughulikia mambo kama hayaa
 
acheni ulofa nyie, hii picha hamuoni kabsaa ni ya zamani, alafu mtu anajitahidi kusema kabsaa hiyo ni aerial view ya mchana, hiyo barabara ya pembeni ya jangwani, si ni lami sasa hivi? mbona haioneshi hivyo hiyo picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…