Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,095
Lile deni la BMT hao viongozi wa ๐ธ๐ธwamelilipa?tuna viongozi wenye uweledi mkubwa sana,wenye kupambania masilahi ya timu,mashabiki tuna enjoy.
Bingwa wa nini?Yanga Bingwa.
Sio limekaa...Ni la kizaramo,ila kikubwa mashabiki wote tuendelee kuipenda team yetuJina halisi la timu yetu ni Young Africans Sports Club. Hilo jina la Dar Young Africans limekaa Kizaramo zaramo sana. All in all hongera kwakuwa shabiki wa muda mrefu wa Yanga.
Usipende sana mchezo wa soka, ni pepo la gizaniHabari zenu..
Napenda kuleta huu uzi ulio na mapenzi ya dhati juu ya timu yangu pendwa kuliko timu zote duniani DAR YOUNG AFRICANS.
mahaba yalianza toka nikiwa mtoto mdogo sana,kweli naweza kusema naipenda yanga sana,ni timu iliyojaa historia kubwa sana Africa mashariki na kati,WE GREENS COLOR OF GOD.
tuna viongozi wenye uweledi mkubwa sana,wenye kupambania masilahi ya timu,mashabiki tuna enjoy.
Kila nikitazama picha iliyojificha naiona YANGA ikiwa timu kubwa Africa itakayo ogopeka na kila timu,inshaallah
Daima nitasimama na wewe tu,iwe kwenye tabu na furaha pia we greens forever.
DAR YOUNG AFRICANS CHAMPIONS CHAMPIONS OF ALL TIMES..
Hongereni sana Bamutu ba Congo ya Lubumbashi!Tunawakilisha kutoka kipande cha LUBUMBASHI View attachment 2939897
tupo pamoja hapo...Habari zenu..
Napenda kuleta huu uzi ulio na mapenzi ya dhati juu ya timu yangu pendwa kuliko timu zote duniani DAR YOUNG AFRICANS.
mahaba yalianza toka nikiwa mtoto mdogo sana,kweli naweza kusema naipenda yanga sana,ni timu iliyojaa historia kubwa sana Africa mashariki na kati,WE GREENS COLOR OF GOD.
tuna viongozi wenye uweledi mkubwa sana,wenye kupambania masilahi ya timu,mashabiki tuna enjoy.
Kila nikitazama picha iliyojificha naiona YANGA ikiwa timu kubwa Africa itakayo ogopeka na kila timu,inshaallah
Daima nitasimama na wewe tu,iwe kwenye tabu na furaha pia we greens forever.
DAR YOUNG AFRICANS CHAMPIONS CHAMPIONS OF ALL TIMES..
Bingwa wa Mabingwa.Bingwa wa nini?
Sema tu haukuhusu.nikajua jua ni uzi wa maana kumbe๐ฎ๐ฎ
Dar Young ndio jina halisi na ๐ธ๐ธmakazi yao ni pale pale jangwani.Jina halisi la timu yetu ni Young Africans Sports Club.
Mabingwa wa mipasho.Bingwa wa Mabingwa.
๐ ๐ ๐ ๐Mabingwa wa mipasho.
SawaUsipende sana mchezo wa soka, ni pepo la gizani
Safi mkuuUzi huu uwekewe lamination