Meshacky Allyson
Senior Member
- Oct 29, 2020
- 126
- 250
Tatizo kubwa katika ndoa za siku hizi niWadau wa JF , Kama hiyo tittle hapo juu inavyosema kiukweli hali imekuwa mbaya ,Takwimu juzi zimetolewa nikawa nasikiliza ,Dar inaongoza ndoa zinavunjika sanaa , wadada wanalalamika ,vijana nao wanalalamika uvumilivu ,na heshima hakuna..!! Nikawa nawaza sasa ,Hii inasababishwa na nn..? Ni utandawazi , or wadangaji mjini wamezidi ,au maandalizi mabovu ya kifikra juu ya ndoa kwa vijana , ..??Hatumshirikishi Mungu ipasavyo ..?Suluhisho ni nn..?? Nikaoe mkoani na kutokomea huko huko au nifanyeje..??
Weka comment hapo chini mtu wangu tupeane ushauri..
Uzi nawasilisha..View attachment 1689935
Appreciate Bro..Tatizo kubwa katika ndoa za siku hizi ni
1.kila mmoja kutanguliza maslahi yake binafsi kabla ya maslahi ya pamoja.
2. Vijana kukosa mafunzo ya msingi kuhusu ndoa na mahusiano.
3. HAKI SAWA
Sound like a fact..Mkuu dar inaongoza kuwa na watu wengi
Hilo nalo linachangia sehemu wapo 1000 huwezi linganisha na watu 100
Appreciate bro , facts95% ya wanaume wa darisalama hawana nguvu za kiume kutokana na lifestyle zao na vyakula wanavyokula.
Unategemea ndoa zidumu kweli??
Ndoa zenyewe ni zile mtu anaoa ili apate mtu wa kumpikia na kumfulia.
Watasema yoteeee ,yatasemwa mengiiiii
Ilaaaaa Kuchepuka ndo kunaongoza kuvunjisha Ndoa.
Kuna Bidada ,nikiweka hapa scrnshots ,anavyonilalamikia kuhuhusu mumewe, anavyochepuka mpaka huyo mchepuko anadiriki kujipost mitandaon akiwa na mume wa huyu bidada...
Bidada naye, ananiambia anataka kuvunja ndoaa, nimimi tu ndo naendelea kumshauri atuliee, avute subira....
Aya Mnadhan Bidada kama huyu nikitaka Kumla ,nashindwa ????.
Aya nikishamla, sindo nayeye ananogewa, hatimaye ataamua kuvunja ndoa hata km mimi namshaur avumilie.
DUNIAA, DUNIA INAHARIBIKA SABABU WANAUME WAMEJISAHAU SANAAAAA.
Mapenzi yamekua mepesi, ndoa zimekua sio kitu tena, kale kathaman ka ndoa hakapoooo, now days wanawake nibora wazae, lkn ndoa ni km egemeo tu kwao.
wanawake na mboooo..mbooo na wanawake..
Wanaume na K....K na wanaume
Au nasema uongo ndugu zangu
Ndoa ni mkataba baina pande mbili. Wazazi wa mwanamke na wazazi wa mwanaume... Na makubaliano hakisha patikana panawekwa mhuri wa Mungu. Kama shahidi namba Moja....Wadau wa JF , Kama hiyo tittle hapo juu inavyosema kiukweli hali imekuwa mbaya ,Takwimu juzi zimetolewa nikawa nasikiliza ,Dar inaongoza ndoa zinavunjika sanaa , wadada wanalalamika ,vijana nao wanalalamika uvumilivu ,na heshima hakuna..!! Nikawa nawaza sasa ,Hii inasababishwa na nn..? Ni utandawazi , or wadangaji mjini wamezidi ,au maandalizi mabovu ya kifikra juu ya ndoa kwa vijana , ..??Hatumshirikishi Mungu ipasavyo ..?Suluhisho ni nn..?? Nikaoe mkoani na kutokomea huko huko au nifanyeje..??
Weka comment hapo chini mtu wangu tupeane ushauri..
Uzi nawasilisha..View attachment 1689935
SawaNdoa ni mkataba baina pande mbili. Wazazi wa mwanamke na wazazi wa mwanaume... Na makubaliano hakisha patikana panawekwa mhuri wa Mungu. Kama shahidi namba Moja....
Siku hizi Vijana wa leo awe mwanaume au mwanamke wanachukuliana barabarani ndani ya ma guest na mabar na hadi kwa kupitia mitandao. Kisha wanaenshi kwa unyumba. Bila kutambuliana ndani ya familly zao pande zote mbili.. Kwa hiyo ni jambo la kawaida kwa binadamu kua na matamanio na maamuzi ya kubadilika. Vitu hizi mbili zikikutana mara moja kila moja anavuta upande wake
Hili la Ndoa na Wanawake wa Dar linahitaji mjadala mpana..Wengi hurubuniwa na motivational speakers walioshindwa maisha na wao huingia mkenge..
Dini za kilokole nazo sometimes hupotosha unakuta mtu anasema ooh Mungu amekuandalia mema mengi mbeleni mwanamke anadhani kweli kumbe hajui tu..
HahahhNikiwa mkubwa nitatimiza majukumu yangu kwenye ndoa kama mwanaume ili nisiwape bodaboda nafasi.