Meshacky Allyson
Senior Member
- Oct 29, 2020
- 126
- 250
Wadau wa JF , Kama hiyo tittle hapo juu inavyosema kiukweli hali imekuwa mbaya , Takwimu juzi zimetolewa nikawa nasikiliza ,Dar inaongoza ndoa zinavunjika sanaa , wadada wanalalamika ,vijana nao wanalalamika uvumilivu ,na heshima hakuna..!!
Nikawa nawaza sasa ,Hii inasababishwa na nn..? Ni utandawazi , or wadangaji mjini wamezidi ,au maandalizi mabovu ya kifikra juu ya ndoa kwa vijana , ..??Hatumshirikishi Mungu ipasavyo ..?Suluhisho ni nn..?? Nikaoe mkoani na kutokomea huko huko au nifanyeje..??
Weka comment hapo chini mtu wangu tupeane ushauri..
Uzi nawasilisha..