Dar Yaongoza Ndoa Kuvunjika

Meshacky Allyson

Senior Member
Oct 29, 2020
124
246
Wadau wa JF , Kama hiyo tittle hapo juu inavyosema kiukweli hali imekuwa mbaya , Takwimu juzi zimetolewa nikawa nasikiliza ,Dar inaongoza ndoa zinavunjika sanaa , wadada wanalalamika ,vijana nao wanalalamika uvumilivu ,na heshima hakuna..!!

Nikawa nawaza sasa ,Hii inasababishwa na nn..? Ni utandawazi , or wadangaji mjini wamezidi ,au maandalizi mabovu ya kifikra juu ya ndoa kwa vijana , ..??Hatumshirikishi Mungu ipasavyo ..?Suluhisho ni nn..?? Nikaoe mkoani na kutokomea huko huko au nifanyeje..??

Weka comment hapo chini mtu wangu tupeane ushauri..

Uzi nawasilisha..
9b4dccf18af70a3d3744f1830e1f03fd.jpg
 
Wadau wa JF , Kama hiyo tittle hapo juu inavyosema kiukweli hali imekuwa mbaya , Takwimu juzi zimetolewa nikawa nasikiliza ,Dar inaongoza ndoa zinavunjika sanaa , wadada wanalalamika ,vijana nao wanalalamika uvumilivu ,na heshima hakuna..!! Nikawa nawaza sasa ,Hii inasababishwa na nn..? Ni utandawazi , or wadangaji mjini wamezidi ,au maandalizi mabovu ya kifikra juu ya ndoa kwa vijana , ..??Hatumshirikishi Mungu ipasavyo ..?Suluhisho ni nn..?? Nikaoe mkoani na kutokomea huko huko au nifanyeje..??
Weka comment hapo chini mtu wangu tupeane ushauri..

Uzi nawasilisha..View attachment 1689935
Tatizo kubwa katika ndoa za siku hizi ni
1.kila mmoja kutanguliza maslahi yake binafsi kabla ya maslahi ya pamoja.
2. Vijana kukosa mafunzo ya msingi kuhusu ndoa na mahusiano.
3. HAKI SAWA
 
Watasema yoteeee ,yatasemwa mengiiiii

Ilaaaaa Kuchepuka ndo kunaongoza kuvunjisha Ndoa.

Kuna Bidada ,nikiweka hapa scrnshots ,anavyonilalamikia kuhuhusu mumewe, anavyochepuka mpaka huyo mchepuko anadiriki kujipost mitandaon akiwa na mume wa huyu bidada...

Bidada naye, ananiambia anataka kuvunja ndoaa, nimimi tu ndo naendelea kumshauri atuliee, avute subira....

Aya Mnadhan Bidada kama huyu nikitaka Kumla ,nashindwa ????.

Aya nikishamla, sindo nayeye ananogewa, hatimaye ataamua kuvunja ndoa hata km mimi namshaur avumilie.

DUNIAA, DUNIA INAHARIBIKA SABABU WANAUME WAMEJISAHAU SANAAAAA.

Mapenzi yamekua mepesi, ndoa zimekua sio kitu tena, kale kathaman ka ndoa hakapoooo, now days wanawake nibora wazae, lkn ndoa ni km egemeo tu kwao.

Au nasema uongo ndugu zangu
 
wanawake na mboooo..mbooo na wanawake..

Wanaume na K....K na wanaume

Au nasema uongo ndugu zangu
 
Wadau wa JF , Kama hiyo tittle hapo juu inavyosema kiukweli hali imekuwa mbaya , Takwimu juzi zimetolewa nikawa nasikiliza ,Dar inaongoza ndoa zinavunjika sanaa , wadada wanalalamika ,vijana nao wanalalamika uvumilivu ,na heshima hakuna..!! Nikawa nawaza sasa ,Hii inasababishwa na nn..? Ni utandawazi , or wadangaji mjini wamezidi ,au maandalizi mabovu ya kifikra juu ya ndoa kwa vijana , ..??Hatumshirikishi Mungu ipasavyo ..?Suluhisho ni nn..?? Nikaoe mkoani na kutokomea huko huko au nifanyeje..??
Weka comment hapo chini mtu wangu tupeane ushauri..

Uzi nawasilisha..View attachment 1689935
Ndoa ni mkataba baina pande mbili. Wazazi wa mwanamke na wazazi wa mwanaume... Na makubaliano hakisha patikana panawekwa mhuri wa Mungu. Kama shahidi namba Moja....

Siku hizi Vijana wa leo awe mwanaume au mwanamke wanachukuliana barabarani ndani ya ma guest na mabar na hadi kwa kupitia mitandao. Kisha wanaenshi kwa unyumba.

Bila kutambuliana ndani ya familly zao pande zote mbili.. Kwa hiyo ni jambo la kawaida kwa binadamu kua na matamanio na maamuzi ya kubadilika. Vitu hizi mbili zikikutana mara moja kila moja anavuta upande wake
 
Ndoa ni mkataba baina pande mbili. Wazazi wa mwanamke na wazazi wa mwanaume... Na makubaliano hakisha patikana panawekwa mhuri wa Mungu. Kama shahidi namba Moja....
Siku hizi Vijana wa leo awe mwanaume au mwanamke wanachukuliana barabarani ndani ya ma guest na mabar na hadi kwa kupitia mitandao. Kisha wanaenshi kwa unyumba. Bila kutambuliana ndani ya familly zao pande zote mbili.. Kwa hiyo ni jambo la kawaida kwa binadamu kua na matamanio na maamuzi ya kubadilika. Vitu hizi mbili zikikutana mara moja kila moja anavuta upande wake
Sawa
 
Nipo Ndoani mwaka wa 7. kuna vipindi kadhaa ndoa yangu iliyumba,natoa sababu Practicla toka kwangu

1. Uminifu Kwa mwanamke au Mwanume. kuna kipind wife alicontact na Xwake, kuna kupindi nilifanya hivyo ikayumbisha sana ndoa na matunzo ya watoto. Yes nimwai kumcheat wife na yeye alifanya hivyo nilifanya kosa na yeye alifanya tukakubalia tusirudie we are Good now japo simsemei

2.Kukosa Uvumilivu. kama wote kwa pamoja mkikosa hii kitu mnajikuta kila mtu anafanya lake ndoa inavunjika mapema tuu.

3.Kukokesana coalition of willing. wengi wanaingia kwenye ndo si kwa makubuliano yao, but wakuta mmoja yuko willing wa pili anafuata mkumbo. hii unakuta unamahusiano na mtu yeye au wewe unampenda sana kiasi cha kukufanya uingie kwenye ndoa lakini upande mwingine hauko tayali toka moyoni but unaingia, unakuta mwingnine kaumizwa huko basi akitokea yoyote anaingia ndoani

3. Hali ya uchumi. kuna kipindi niliyumba sana nikakuta wife anapoteza hamu na wewe, inumizaga sana kuna kipindi nakapiga kaisi kingi cha pesa najiku sina hamu ya kurudi nyumbani, Pia hali ya uchumi inawafanya watu wengi wawe bize kutafuta pesa na kufanya ndoa kuyumba na upelekea pande zote kutokuona umuhimu wa ndoa.
Hapa pia unakutana wakiana mama akimama walifakiwa na wanamiasha yao, wale wali kwenye ndoa anaona kumbe inawezekana ehhh kuishi bila mwanaume kufakiwa inapeleaka kuwa na jeuri au kiburi flani

4.Utawandawazi unachangia kwa kiasi flani, Haya mambo ya Vibamia, tigo na mapicha ya ngono yanahamisha watu kwenda kujaribu au ya kupeana hadithi humu sijui wanawake wa kabila falni watamu au wanaume wa kabila flani mashine, unakuta mwanandoa anataka kwenda kujaribu na aone ahaha h ahh hapo ndo unakutana na Tamaa ya kimwili.

Kingine watu wengi wanaingia kwenye ndoa na Mawazo ya Ngono ,
 
Hili la Ndoa na Wanawake wa Dar linahitaji mjadala mpana..Wengi hurubuniwa na motivational speakers walioshindwa maisha na wao huingia mkenge..
Motivational speakers wengi hawaongelia principles za Ndoa hasa maadili, Miiko na Taratibu za Afrika..wao wanacopy utapeli unaofanyika Ulaya ambao kimsingi umefail na kuuleta hapa eti haki Sawa.

Hakuna haki sawa hata Mbinguni hakuna Haki, kuna malaika na malaika mkuu..Haki iko wapi hapo.

Mitandao...Kuna mambo mengi katika hili Wanawake wengi husikiliza Ulaghai wa mitandaoni wasijue hata akichaa aweza kununia Smart phone akaandika chochote...Huku mitandaoni hakina Editor kila mti anaaandika uchuro wake ukiifuata youbare done.

Dini za kilokole nazo sometimes hupotosha unakuta mtu anasema ooh Mungu amekuandalia mema mengi mbeleni mwanamke anadhani kweli kumbe hajui tu huyu anasaka hela Yake ya sadaka basi...

kupukutika kwa Misingi ya familia hasa kwa wazazi..wazazi wengi wa leo ambao ndio Watoto wao wameolewa Wamekosa kusimamia miiko ya Kijadi ya Familia..angalau kidogo wachaga bado wanajitahidi sana Ukioa mchaga anakua anaogopa sana kuharibu ndoa yake anatii na kulinda heshima yake.

Ila makabila mengine yamepoteana hasa kutokana na Intermarriage hii inakua ngumu kumanage kwamba Mama Mhaya Baba Mkurya ikitokea wakatibuana kwasababu kuna zile kauli fake za kusema wakurya wakorofi na wahaya mara ooh sio waaminifu hivyo ndoa kama hii ya mkurya na mhaya ikifika kwa baba mhaya ataanza kusema kwann uliolewa na hawa watu wabaya?? bila kusikiliza kosa la mwanae au kusikia kilichotokea...

Upande wa ukuryani naonwatasema ooh kwann ukao mhaya hawa hawatulii na ndoa ni wazinifu sana bila kusikiza kosa.

Kingine ni Vikundi vya wanawake wasioleweka...unakuta mdada kaolewa ana shoga hajaolewa na ni mdangaji anakua anamuombea ruksa kwa mume na kumpeleka kutumika na yeye haya ni mengi na yamevunja ndoa nyingi sana.

Kutokana na Mkanganyiko huu sasa Ni ngumu sana Dar Ndoa kutulia na ni ngumu sana bile vile kwa ujumla wa nchi sasa kizazi kijacho ni kibaya zaidi kwasababu vile vile uozo huu utashuka kwa watoto wa collapsed marriage na hawa watoto mbeleni watakua wazazi ni balaa kuu kwenye generation ijayo..ndio mana mtaona mbeleni kupata vijana wenye maono hata kuongoza nchi na kushika nafasi itakua shida sana kutokana na mparaganyiko huu wa familia unaoteremka mpaka mwenye Nchi nzima sasa.

Wizara ya Afya hasa idara ya maendeleo ya jamii wana kazi kubwa hapa ya kufanya...

Na sisi tuna la kufanya kwa kuacha unafiki..dada yako au ndg wa kiume akikosea kaeni mseme wazi.
 
Hili la Ndoa na Wanawake wa Dar linahitaji mjadala mpana..Wengi hurubuniwa na motivational speakers walioshindwa maisha na wao huingia mkenge..

Dini za kilokole nazo sometimes hupotosha unakuta mtu anasema ooh Mungu amekuandalia mema mengi mbeleni mwanamke anadhani kweli kumbe hajui tu..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom