Dar, tupeane update za mvua ya leo

Dar, tupeane update za mvua ya leo

Huku umeme mbweni umeme haujakata Ila radi ikipiga taa za hapa nyumbani zinazima.
 
Mvua iliyonyesha Jana na usiku wa kuamkia leo imesababisha maji kujaa mpaka juu ya daraja na kufanya barabara isipitike .
Sasa mnaotumia barabara ya morogoro road kupitia jangwani mnapaswa kuzunguka.Dsm
 
strabag walileta mchezo pale jangwani! mbona manzese walipainua sana ilishindikana nini kuinua na jangwani pale! au ndo mambo ya chajuu
 
Huku embakasy. Ilinyesha asubuhi na imeleta mafuriko bahadhi ya sehemu
 
Kila kitu kwa Mwanaadam kikizidi ni tatizo.

Mvua isipokuwepo (isiponyesha) tunalalamika.

Mvua ikinyesha sana tunalalamika pia.

Na unakuta kuna baadhi ya Shughuli zinasimama
 
Huku niliko hakuna mafuriko,mlioko huko kwenye mafuriko tupeni updates basi.Mods anzisheni Forum ya breaking news ili tuwe tunapata matukio ya motomoto,hii mambo ya kukaa tunasubiria siku tatu mpaka mvua ziishe ndio tunaonyeshana picha za matukio haiko sawa...
 
Back
Top Bottom