Dar tunahita Afisa JWTZ au Prison Mstaafu

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,168
10,060
Wakuu JF Amani iwe Nanyi.

Katika utafiti wangu nilioufanya nimegundua kuwa Jamaa wa JWTZ na Tanzania Prsison Services (TPS) huwaga wana Nidhamu za hali ya Juu kabisa.
Katika Mkoa kama huu uliojaa Changamoto nyingi sana ambazo zinazokuwa Driven na Matukio ya Ki Siasa,Kuwa na Mkuu Mwenye Uanasiasa ndani yake ni kuzidi kuharibu.
Huu Mkoa tuombe tupate Major General Mmoja au Commossioner Mmoja kutoka TPS.
Mambo yatakaa sawa Sawia.
Nawaza tu
 
Daah tunahitaji Afisa usalama aliefanyia kazi Dar hadi miaka 50.

Siyo kutuletea vijana hawajamaliza kubalehe.
 
Wakuu JF Amani iwe Nanyi.

Katika utafiti wangu nilioufanya nimegundua kuwa Jamaa wa JWTZ na Tanzania Prsison Services (TPS) huwaga wana Nidhamu za hali ya Juu kabisa.
Katika Mkoa kama huu uliojaa Changamoto nyingi sana ambazo zinazokuwa Driven na Matukio ya Ki Siasa,Kuwa na Mkuu Mwenye Uanasiasa ndani yake ni kuzidi kuharibu.
Huu Mkoa tuombe tupate Major General Mmoja au Commossioner Mmoja kutoka TPS.
Mambo yatakaa sawa Sawia.
Nawaza tu
great idea..
 
Mawazo mazuri tumekusia
 
Upo ukweli kwamba vyeo vya ukuu wa mkoa vipo kisiasa zaidi kuliko uwezo wao,labda kifutwe cheo cha kuteuliwa tuweke uchaguzi wa mtu bila kujali chama,kwa lugha nyepesi waku wa mkoa wasitokane na vyama.
 
Wakuu JF Amani iwe Nanyi.

Katika utafiti wangu nilioufanya nimegundua kuwa Jamaa wa JWTZ na Tanzania Prsison Services (TPS) huwaga wana Nidhamu za hali ya Juu kabisa.
Katika Mkoa kama huu uliojaa Changamoto nyingi sana ambazo zinazokuwa Driven na Matukio ya Ki Siasa,Kuwa na Mkuu Mwenye Uanasiasa ndani yake ni kuzidi kuharibu.
Huu Mkoa tuombe tupate Major General Mmoja au Commossioner Mmoja kutoka TPS.
Mambo yatakaa sawa Sawia.
Nawaza tu
Kwani tunataka kufungua vikosi vya jeshi, mkoa mzima?
 
Mkoa una mazonge mengi sanaa.....akileta mwanajeshi mwenye busara asije akamlinganisha na huyo kisebusebu kilichotoka kwa kashfa ya kughushi vyeti.......ama la aletw mtu anaejielewa......
 
mi naona ukuu wa mkoa wa dar es salaam nipewe Mimi maana mimi ni rafiki wa wema na mbaya wa waovu
 
Kwa mujibu wa katiba ya ccm , Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya chama ya mkoa husika , sijui nafuu iko wapi ?
 
Kama kuna ugumu wowote wa kuongoza mkoa wa Dar es salaam au jiji kwa ujumla,sababu kubwa ni kuwa na viongozi wengi kwenye ngazi za chini walio na elimu ya msingi au hata kidato cha nne ambao hawakujiendeleza zaidi kimasomo. Wazo la kuwa na Major General haliwezi kusaidia kitu kwa mfumo uliopo. Mitaa na vitongoji karibu vyote vinatakiwa kuongozwa na watu angalau wenye Diploma ya mambo ya utawala au sheria.
 
Wakuu JF Amani iwe Nanyi.

Katika utafiti wangu nilioufanya nimegundua kuwa Jamaa wa JWTZ na Tanzania Prsison Services (TPS) huwaga wana Nidhamu za hali ya Juu kabisa.
Katika Mkoa kama huu uliojaa Changamoto nyingi sana ambazo zinazokuwa Driven na Matukio ya Ki Siasa,Kuwa na Mkuu Mwenye Uanasiasa ndani yake ni kuzidi kuharibu.
Huu Mkoa tuombe tupate Major General Mmoja au Commossioner Mmoja kutoka TPS.
Mambo yatakaa sawa Sawia.
Nawaza tu
Hawa nao ni wanadamu kama wewe tu suala la nidhamu ni haiba ya mtu na si lazima awe jw au magereza.Weledi wa kazi ndo jambo la msingi
 
Kwa mfumo huu wa serikali tunaoenda nao hivi vyeo vya ma rc na ma dc ni kheri visiwepo .
Hawa watu Kwa muda mrefu wameoperati bila ufanisi wowote.
Serikali ingeoperate na wakurugenzi wa halmashauri. Na kisha kuboresha uwezo wa takukuru kusimamia na kuthibiti ubadhirifu kwenye halmashauri.
Kwenye kuhamasisha maendeleo ibaki kuwa kazi za madiwani na wabunge.
Naamini tutakuwa na serikali za mitaa bora zaidi zenye kusimamiwa na wananchi wenyewe kwenye maeneo Yao bila ya hawa watu wa kuletwa kutoka njee, Hapo tutakuwa na serikali za mitaa zinazoakisi Kwa ukaribu maana halisi ya local government.
 
Back
Top Bottom