Dar to Zenj 2020

Yaa!Yanawezekana baada ya kuyatoa mafisiem na kuuweka utawala wa wananchi kupitia UKAWA.
 
sina uhakika kwa umbali wa bara na pwani kuwa na daraja
 
siku zote nguo ya kuazima haisitiri

tusifanye vitu kwa kuiga bali twende taratibu. tuboreshe miji yetu kwa ujumla.

maana yake hapa ni kuwa unaweza kuwa na kipato kidogo ukaishi maisha mazuri kwa kuepuka vitu vya gharama kubwa.

ulimbukeni huu ndio unashusha thamanai ya fedha yetu kuporomoka na kukosa fedha za kutekeleza miradi muhimu ya maendeleo.

kwangu mimi nadhani 2020 tutakuwa hatujafikia hatua hiyo kwa kuigharamikia barabara hiyo sisi wenyewe.

kama tutatekeleza mradi huo by 2020 tutakuwa tunamuiga tembo msalani na matokeo yake ni kuendelea kuwa masikini.

 
Hakuna kinachowezekana ( ccm labda ufisadi) hakuna kisichowezekana (nje ya ccm)
 
Kwanza ndio wanajiongezea kiinua mgongo huko dodoma. Sisi tutasubirinsana bado
 
Watu wanadhani 2020 ni mbali...ni miaka 5 toka leo..sasa sijui project nzima relating na vipesa mbuzi vyetu km itawezekana kwa muda huo..
 
some dreams comes true and some dreams stay dreams

.made in mby city.
 
Hii labda wataishuhudia wajukuu zake na kitukuu changu.teh teh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…