johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,109
- 164,497
Amewataka wawasilishe mapendekezo yao ili TRA iweze kuyafikiria katika makadirio ya kodi.
Source: Wapo Radio habari
Source: Wapo Radio habari
Kumbe Kondaboy siku hizi ni bosi wa TRA??Amewataka wawasilishe mapendekezo yao ili TRA iweze kuyafikiria katika makadirio ya kodi.
Source: Wapo Radio habari
Una uhakika?Uzuri matamko yake hayana madhara kwa kuwa hayatekelezeki!
Chairman kamati ya ulinzi na usalama!Kumbe Kondaboy siku hizi ni bosi wa TRA??
Huwa yanatekelezeka kwenye magazeti ya Shigongo.Uzuri matamko yake hayana madhara kwa kuwa hayatekelezeki!