Dar - Njombe

Dar - Njombe

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
8,710
Reaction score
32,483
Jamani waungwana kwa anaejua nauli ya Dar to Njombe Kwa sasa imefika ngapi jamani. Kwa basi.

Wenu mtiifu,
Kambaku
 
Swali zuri..atanabaishe

Kama bus ,inarange 25,000/= hadi 35,000/=

Ndege,mwaka jana precision ilikua 120,000/=

Train kitu kama 15,000/=

Usafiri wa meli hamna...
Mwakajinga ulisoma bandiko langu lakini vizuri kama hujamsapoti huyo jamaa uliyemsapoti?

Asante lakini kwa taarifa
 
Mara ya mwisho kwenda huko mkuu Kambaku (ng'ombe dume ) gari nzuri ilikuwa Nyagawa,Otta high class,Galaxy na Njombe express au New force(Golden deer) na super feo zinazoenda hadi songea na mbiga nauli ikiwa 25000 mpaka 30000 tu mpaka njombe mjini
 
Shukrani sana mkuu
 
Swali zuri..atanabaishe

Kama bus ,inarange 25,000/= hadi 35,000/=

Ndege,mwaka jana precision ilikua 120,000/=

Train kitu kama 15,000/=

Usafiri wa meli hamna...
Precision inaenda Njombe au ilikodiwa? Si dhani kama kuna uwanja wa kutua ndege za abiria Njombe labda Iringa nako ni hivi majuzi ndio wamepeleka Bombadia
 
Back
Top Bottom