Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,759
- 37,374
Dar ni mji mkubwa na kila mkoa ndani ya nchi yetu wanataka kufika dar kwa kutafuta maisha,kutoboa,biashara,kubadilisha level,kuelekea ulaya na n.k
chizcom kwa siku kadhaa nilizopo hapa mkoani japo ni kwetu ila nimeona utofauti sana na mkoani.
Dar kimisemo:"asibuhi nyama inakuwa supu na mchana inakuwa mboga"
maisha ya dar hakuna aja yakuwa na degree maana joto lilopo linatosha tu.
kiukweli Dar ukiwa na pesa watoto wanajua kuingia bafuni wapo.
Dar miogo na chips kinawasaidia sana ,chips ndio chakula cha mkoa wa dar maana kila ushindani.
Dar kuna maeneo hata hapa mtoa uzi mmoja alitaja kuwa ukipata mchumba maeneo hayo ni bomu.kama sinza,kinondoni na kwa ashura mkwe wa mchunguji marehemu.
Dar watu wanamiliki macho matatu kuliko macho jicho moja na zaidi ambalo limewafanya kumiliki.
Dar kila mtu wa mkoa yupo na kila mtu anajipa matumanini hipo siku ila itakuwa siku ndio maana ridhiki popote.
Dar ni mji mkubwa sana ndio maana unaweza kwenda sehemu fulani ukamaliza siku nzima wakati wa mkoa anakuja wewe bado ujafika ulipotoka.
Dar ndio kiwanda cha stress,chawa,tabia utazikuta hapa na kwenye mitandao mpaka kupelekea walio mkoani kuona ili jiji ni zuri.
Dar vyakula ni vingi kuanzia masokoni mpaka wauzaji ila mtatofautiana kunenepa.
Dar kuna wembamba na wakati wengi kuliko wanene na wanene ndio wanaonekana swala la misosi na maisha wametusua.
Dar nimeshangaa sasa hata buza na yombo inafanana na kinondoni jinsi miundo mbinu ilivo mizuri.
Dar kama usafiri umiliki bora ukaishi kijijini maana hata kusalimiana mjini inabidili kuwa na usafiri.
Dar hakuna wivu wa mapenzi sana kama tuliopo mkoani ndio maana kasi ya maambukizi,wasio kuwa na bikra,walioachwa,team fisi na n.k wapo wengi.
Dar mchuzi wa pweza ,nazi,juice ya tende,dawa za nguvu za kiume hizi ni timu ambazo azijawahi kushuka daraja .
Ni hayo tu